Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

pasco,

Hadithi za chuki zisiokuwa na mashiko na kubabaisha watu. Wazanzibari wanaijua historia yao vizuri lakini kwa kifupi na kueleza kuwa.

1. Hakuna mzanzibari aliewahi kufanywa mtumwa! wazanzibari, walikuwa wanajuulikana kama "Sultan's Subjects" na kulikuwa na Decree ya hata kunyanyaswa na mtu yeyote seuze kufanywa mtumwa. Wazanzibari kama vile Mwinyi Mkuu wa Dunga (currently, kirembwe chake ni mwakilishi kwa tiketi ya CCM) alikuwa anamiliki watumwa sawa na virembwe vya maseneta wa Marekani walivyokuwa wanahodhi watumwa wa Kiafrika.

2.Wazanzibari hata waliochanganya damu na wanyamwezi walifanya biashara za utumwa na mfano wa wazi ni TipTip ( the great slaverer) aliotoka kwenye tumbo la kinyamwezi kabila la akina Fundikira.

3. Warabu hawakuvamia visiwa vya Zanzibar lakini walikwenda kuombwa na wazanzibari kuja kuwasaidia kuondoa utawala wa kidhalimu wa kireno uliokuwa ukiwaadhibu watu na kuwafanyia kila ufirauni unaojua na hata kuwalazimisha watu kuwa wakiristo kwa nguvu kama walivyokuwa wanafanya huko Oman. Ngome Kongwe waliijenga kwanza wareno na ndio iliokuwa gereza na ngome ya kutesa, kuua na ufirauni mwengine.Watu kama Pasco wanaona aibu hata kuzungumzia utawala wa Kireno Zanzibar kana kwamba hawajawahi kuvivamia na kuvikalia kwa mabavu kwa zaidi ya miaka 200

4. Missionari hawakuondowa utumwa kama unavyojidanganya na kutaka kuudanganya umma. Utumwa ulianzza kuondolewa na wamarekani, baaada ya vuguvugu ya watumwa weusi kujitambua na kuanza kudai haki zao. Vuguvugu hili lilionekana kuwa ni tishio kwa utawala wao, hasa ongezeko la watu weusi wanaoingia marekani kama watumwa ilikuwa inaongezeka kwa kasi. Ni woga huo ndio uliozaa azimio ya kuzuia utumwa na hivyo kumaliza ongezeko la watu weusi Marekani.

5.Udhalimu pekee ninanoujua dhidi ya wazanzibari ambao waliteswa, kubakwa, kuuwawa na kufanywa wawe wakimbizi ni ule ulio fanywa 2001 na mtawala mweusi, mkoloni mambo leo.

5 Picha ulizozibandika kuwa kama kielelezo (sijui zimeibiwa museum Zanzibar) ni sawa na picha za watumwa wa kiafrika waliopelekwa Marekani na wamissionari
 
Lengo la hii mada ni zuri, ni kujaribu kutukumbusha madhila waliyopitia ma babu zetu enzi hizo za utumwa

Pia ikumbukwe sio Waarabu pekee walitesa Waafrika, bali hata wazungu pia walitesa ma babu zetu enzi hizo. Nimeipenda mada shukrani kwa elimu mkuu pasco

Kitu cha msingi nilichojifunza ni kua sisi kama watu weusi tusiwategemee watu weupe katika ustawi wetu sababu wale sio asili yetu, wana asili yao kama wao. Cha msingi ni sisi kama weusi tuzidi kushikamana kuleta ustawi wetu sababu Afrika ni yetu sio ya kwao.

Tuwashukuru tu kwa kutuletea dini na elimu, kilichobaki sasa ni sisi kusonga mbele kama sisi bila kuwategemea wao. Tunavyorumbana sisi kwa sisi kujaribu kurushiana maneno eti kwa kisingizio cha kutetea unaposimamia ni sawa na kupoteza muda tu sababu hawa waarabu na wazungu ambao tunawakingia vifua sasa hivi kwa sisi kurushiana maneno huku Afrika wenyewe kwenye nchi zao wanaendelea kufanya ugunduzi mpya kila kesho.

Cha msingi tuachane nao tupige kazi kwa kushikamana. Sisi tutapiga makelele buree kujidai tunawatetea lakini mwisho wa siku haina maana wala mantiki yoyote kwa ustawi wetu, sidhani kama kuna mtu atapata maendeleo kwa kuwatetea hawa waarabu au wazungu. Tufanye kazi kwa mshikamano sisi ni weusi waafrika tujivunie hilo .
 
Ninaona ombwe fulani katika bandiko lako Pasco wa JF.

Bila kujali Rangi binadamu wote ni wabinafsi. Katika mida tofautitofauti karibu kila Jamii ya watu iliwafanya wenzake watumwa.

Mfano leo dunia nzima kuna watumwa wengi sana kuliko hata enzi za Sultani na wanatumikishwa karibu na kila race.

Kwa kukufungua kidogo, mfanya biashara wa kwanza na kigogo wa kuuza watumwa weusi ndani ya Amerika alikuwa ni mtu mweusi.

Ungejifunza pia siku baada ya mapinduzi watu weusi waliwafanya nini waarabu na wahindi chini ya Fidel Martial OKello.
Kuna itallian firm marker aliyekuwepo huko anaelezea kupiga picha open mass grave ikiwa ni kaburi la waarabu waliouliwa na kubakwa kinyama na watu weusi.

Kwa kutambua hilo A.A Karume aliitengeneza Zanzibar mpya na kumfurusha Okello na kuwa kinyume na watu weusi wote waliokuwa na msimamo huo wa kipuuzi. Hiki ndio kinamfanya aonekane Mtu bora kabisa barani Afrika.

Sioni sababu ya kumsimanga mwarabu, yamepita tusonge mbele. ukisoma wajapani walichokifanya east asia na china utamuona Mwarabu kama kasisi.
 
Mtoa mada ameshindwa kuunganisha mantiki, kashindwa kumshibisha msomaji wa sasa kuhusu hiyo historia ya darasa la tano wakati uleee na hali halisi sasa na tunajifunza nini kupitia andiko lake.

Nelson Mandela alipochukua nchi alisema tunazika historia, tunaweka umoja wa kitaifa, tunasonga mbele kwa kukuza uchumi ili nchi yetu iwe ya mfano wa kuigwa.

Kwa uandishi ukipoteza uwezo wa kuifanya hadhira watambue fikira zako chanya hapo utakuwa umefeli.
 
Hauna hoja yoyote ni ubaguzi tu,mbona watanzania wingi wanauwa,wanafungwa na kufanyiwa madhira mengi ya kutisha chini ya utawala wa CCM? Na bado mnachukua nchi,udharimu hauna rangi wala dini wala kabila,udharimu ni udharimu tuu,kwani aliyeua wazanzibar 2000 ni Sultan???acha unafki


CCM ni ya leo. Anza kwanza kutoa comment kwa hiyo ya minyama miarabu. Je, ilitenda haki?

Njoo kwa huyu msukule anayependa kupotsoha ukweli hata uliobayana ambaye sasa anaandika eti hakuna sultani aliye natuhuma ya mauji. Baada ya kuona haya wewe unasemaje? Ni kweli masultani hawakututenda unyama?

Na hata hivyo mwarabu hajawahi kuwa binadamu tangu kuzaliwa kwake. Anaoongelea Pasco ni wale waarabu mchanganyiko wenye damu ya binadamu lakini siyo ile mishetani asilia.

Huyaoni yanaoyafanyika Saudi Arabia? Huyaoni yanayofanyika syria na kwingineko?

Uwe mkwlei. Jadili hoja iliyoko mezani. Halafu saas andika mada yako juu ya mauaji ya CCM tuyajadili pia.

Huwezi kulazmisha watu wahalalishe uharamia kwa kunyamazia hata unapofanywa kuwa ni wema eti kwa kuwa ushetani huo unafanyika sehemu nyingi. Shetani ni shetani. Unasikia wewe.
 
ninaona ombwe fulani katik bandiko lako psco wa JF.
Bila kujali Rangi binadamu wote ni wabinafsi. Katika mida tofautitofauti karibu kila Jamii ya watu iliwafanya wenzake watumwa.
Mfano leo dunia nzima kuna watumwa wengi sana kuliko hata enzi za Sultani na wanatumikishwa karibu na kila race.

Kwa kukufungua kidogo, Mfanya biashara wa kwanza na kigogo wa kuuza watumwa weusi ndani ya amerika alikuwa ni mtu mweusi,
first_slave.jpg


Ungejifunza pia siku baada ya mapinduzi watu weusi waliwafanya nini waarabu na wahindi chini ya Fidel Martial OKello.
Kuna itallian firm marker aliyekuwepo huko anaelezea kupiga picha open mass grave ikiwa ni kaburi la waarabu waliouliwa na kubakwa kinyama na watu weusi.

Kwa kutambua hilo A.A Karume aliitengeneza zanzibar mpya na kumfurusha Okello na kuwa kinyume na watu weusi wote waliokuwa na msimamo huo wa kipuuzi. Hiki ndio kinamfanya aonekane Mtu bora kabisa barani afrika.

Sioni sababu ya kumsimanga mwarabu, yamepita tusonge mbele. ukisoma wajapani walichokifanya east asia na china utamuona mwarabu kama kasisi.

Kama kuna binadamu ambae amenyanyaswa na kupuuzwa ni mtu mweusi. Mtu mweusi awe muislam, mkristo, au mpagani. Nimeshtushwa sana na utetezi wa manyanyaso ya mtu mweusi katika jamvi hili eti tu kwa vile huyo aliyemnyanyasa ni muislam au mkristo! Wewe mtu mweusi kweli unaweza ukajidhalilishs kiasi hicho Kisaka eti hate tea uislam au ukristo? Hawa weupe na wanjano bado wanaamini kuwa wewe ni inferior kwao.

Sio binadamu mwenye uwezo wa kufikiri kama wao! Bado unashangilia eti utumwa na unyanyasaji wa mtu mweusi ni propaganda na chuki dhidi ya uislam au ukristo? Watu weupe walikuwa waislam au wakristo na waliyafanya hayo kwa baraka ya hizo dini zao! Hakuna mwaarabu au mzungu aliyezaliwa mbinguni! Wote ni binadamu wenye tamaduni na imani fulani ikiwapo hiyo kuwa mtu mweusi hafai! Wamekuwa na kuishi katika jamii iliyoamini hivyo toka papa hadi imam mkuu! Hawa ni binadamu na huwezi kuwatenganisha na utamaduni wao.

Ndio kumekuwa na mabadiliko ya kimtazamo kuhusu mtu mweusi lakini ukweli unabaki pale pale kuwa mtazamo wa babu zao kuhusu mtu mweusi ulikuwa hasi! Narudia tena iwe kwa dini ya kikristo au uislam! Hivyo ukiuhalalisha unyama huo eti tu kwa kuwa wewe ni mwislam au mkristo ni kichekesho na dharau kwako wewe mwenyewe mweusi. Historia imevurugwa sana ili kuonyesha kuwa ukristo hauhusiki na utumwa as well as uislam. Ni uongo, maana hawa washenzi waarabu na wazungu ambao hawakuthamini utu wa mweusi walikuwa waislam na wakristo. Mabadiliko katika fikra na mitazamo ya kidunia na dini zake hayafuti huu ukweli.

Kama kuna mchangiaji mwaarabu au mzungu anayetaka wewe mweusi eti ukubali unyama waliotufanyia kwa mgongo wa hizo dini mbili na wewe ukakubaliana nae basi jua anakudharau na ataendelea kukudharau! Mtu mweusi na akili zako anakwambia kuwa haya yanayotokea katika siasa Za leo ni sawa na utumwa aliofanyiwa babu na bibi yako na wewe unamuunga mkono eti tu kwa sababu una support uislam au ukristo! Akili yako iko sawa au na wewe bado ni mtumwa! Dharau aliyofanyiwa mtu mweusi, bahati mbaya bado inaendelea underground, haiwezi ikatetewa kwa misingi ya huo upuuzi mnaotaka kujivisha.

Nenda bagamoyo, Zanzibar, na Goree island huko Senegal kisha urudi hapa na kutetea ushenzi huu eti tu kwa kuwa waliofanya ni wakristo au waislam. Ni aibu ambayo haijawahi kutokea kwa utu wa mtu uliofanywa na hao wakristo na waislam kwa babu na bibi zetu. Waache waislam waarabu na wakristo wazungu wabishane nani alitudharilisha kidogo na siyo wewe mweusi uliyedharilishwa na unaendelea kudhrilishwa kuwa mtetezi wa wadharilishaji. Ebu tuwe upande unaotustahili.

Bahati mbaya sijui kama huyo Pasco na Mohamed Said nao ni weusi kama sisi au ni uzao wa hao wadharilishaji wazungu wakristo na waarabu waislam? Ebu tujivunie weusi wetu!
 
Thats what History taught us! Mwarabu mtu mbaya,mwarabu anaingilia watu kinyume na Maumbile,mwarabu anajitoa mhanga na mabaya yote! Kuna mtu mmoja alipata kuniambia,tazama picha zote hatopata picha ya kupiga ambayo mwarabu anamtesa Mwafrika,zilizopo ni za kuchora tu! Anae pigwa vita hapo sio Mwarabu laa hasha! Ni UISLAMU! Na wala hatushangai,makufari laiti tungeyaona yaliyo vifuani mwao ni makubwa zaidi ya haya! Vipi watu walio uawa kwenye vita ya kwanza na ya pili ya Dunia! Vipi watu walio uawa na Bush na Obama Libya,Iraq,Afghanstan,Kosovo nakadhalika! History ni Uongo wa kuwatukuza Makatonta zidi ya Uislamu!
Kwani ni uongo kwamba waarabu hawafundishi watu kujilipua? Mwarabu ana roho mbaya sana.
 
Mtoa mada nilidhani anauelewa mzuri juu ya utambuzi wa mambo kumbe ni walewale copy and paste....hebu tuletee picha ambayo si ya kuchora inayomuonesha Muarabu anamnyanyasa mzanzibari? Ukiileta Mimi ndio nitaamini hilo bandiko lako.
Nakushangaa unaleta pic ya papa amekaa na watu weusi. Wataka kutuaminisha nini? Usiwe na akili fupi km andunje.
Zipo pic mzungu anamnyanyasa mtu mweusi na mpaka Leo ni nchi gani zilizokithiri ubaguzi wa rangi Kati ya waarabu na wazungu?

Usipotoshe watu kwa mambo usoyajua.
 
Pasco naifahamu vizuri historia ya utumwa, usichanganye siasa na maswala ya utumwa, wale kina Juma Duni Haji ni CUF die harder sioni any connection ya uarabu wowote walionao, kama sharti Zanzibar itawaliwe na ccm tu basi na ieleweke hivyo kuliko kupoteza pesa za kufanyia uchaguzi.

Pili hayo madai ya Beit al Jaib unaweza kuyathibitisha vipi ukweli wake? Na kama unataka kuweka historia very clear ni kwa nini usemi ukweli Sultan ambaye ni mwislamu ndiye alitowa eneo la mkunazini bure na kujengwa kanisa kuu la Anglican?

Hata kama unasoma sana acha ujanja ujanja wa kuungaunga historia, pale Mkunazini mimi nimeingia kote chini kwenye zile caves ambazo zilikuwa zinaanzia marikiti darajani na zilikuwa ni transit caves na baada ya biashara ya utumwa kupigwa marufuku aliyetowa pesa za kuwakomboa watumwa wote ni Dr Livingston.

Ninachowashangaa wanafki wa Tanzania ni kuiabudu dini ya Mwarabu na kumuabudu mtume Mwarabu then kuiabudu lugha ya Kiarabu halafu ati halafu unamchuki mwarabu, hii inahitaji PHD ya ziada kuzielewa akili za Waislamu hawa, is total nonsense.
 
Thats what History taught us! Mwarabu mtu mbaya,mwarabu anaingilia watu kinyume na Maumbile,mwarabu anajitoa mhanga na mabaya yote! Kuna mtu mmoja alipata kuniambia,tazama picha zote hatopata picha ya kupiga ambayo mwarabu anamtesa Mwafrika,zilizopo ni za kuchora tu! Anae pigwa vita hapo sio Mwarabu laa hasha! Ni UISLAMU! Na wala hatushangai,makufari laiti tungeyaona yaliyo vifuani mwao ni makubwa zaidi ya haya! Vipi watu walio uawa kwenye vita ya kwanza na ya pili ya Dunia! Vipi watu walio uawa na Bush na Obama Libya,Iraq,Afghanstan,Kosovo nakadhalika! History ni Uongo wa kuwatukuza Makatonta zidi ya Uislamu!
Kweli mkuu kunawatumwa mamillion walipelekwa marekani ikawa kule marekani walijaa ikabidi sasa wapelekwe Jamaica na nchi kibao na pengine wakapelekwa Liberia sasa sijuwi hawa wachukuliwa na waarabu au mabwana zenj wazungu ambao hamuwasemi kwasababu walikuwa wakiwapa shanga na vioo na mitumba ya nguo
 
Back
Top Bottom