Udhalilishaji wa kijinsia Ukaguzi Airport (JNIA, Mbeya na Mwanza)

Mathenge hapo mwanza ukaguzi wa 2 na wa mwisho kuna mkaguzi mwanamke pale?
Mkuu,ukaguzi wa mwanzo ,kunakuwa na jinsia ya ke wawili au watatu,na final check utamkuta mmoja au wawili bro! Ukaguzi anaeza kuwa kwenye mashine ke na me akawa anapakia mizigo mkuu, asilimia 100 nakuhakikishia jinsia zote zipo pale na wanapiga kazi kawaida hofu ondoa .Nipo pale kwenye mashine ya wrapping kama unaingia final check mashine mkuu!
 
Ukaguzi wa 2 baada ya Immigration Counter nimepita hapo tarehe 22.03, 29.03 na 03.04 nimemkuta babu ana tumbo ka' injini ya PASSO anafurahia "uumbaji" kwa kutomasa kinamama na kijana mwingine yupo kwenye computer sikumkuta mfanyakazi mwanamke hapo. By the way hv wale wanaouza samaki pale airport eti ndo ya.10 ltrs = 45, 000,wapo timamu kweli?
 
Uongo ni jambo baya sana,km hujui kitu bora kukaa kimya.Kwenye hivyo viwanja hkuna abiria anayekaguliwa physically.Vyote kuna mashine sasa we we unazungumzia viwanja gn?
 
Bro kuhusu wauza samaki Sina hakika ,kwani Bei za samaki hutegemeana na ukubwa wa samaki mkuu,Ila bro we hufurahii uumbaji? Ishuu ya kutomasa bro nitakataaaaa na nitaendelea kukutaa mwanaume hawezi mkagua Ke kwa mikono haipo ,na hta hivi Sasa Kuna mafunzo hapo Airport wanafundishwa wanafunzi wapya jinsi ya kufanya ukaguzi ! Pita uone !
 
Bro upo sahihi sana Kuna mkuu ,nimetoka mwambia angalia post nilizokua namwambia lakini bado anabisha ,na nipo airport hapo bado hakubali!
 
Katika hali ya kushangaza kwenye viwanja vya ndege tajwa (JNIA, Mbeya na Mwanza) ukaguzi kwa abiria wa jinsia zote unafanywa na wanaume. Wanawake wanadhalilika sana kwa kutomaswa na vijana wa kiume hapo Airport.

Tena baada ya ukaguzi, vijana hao (inasemekana) huenda kujisifia na wenzao jinsi abiria alivyojaliwa maumbile makubwa.

NB : Tafadhali uongozi TAA chukueni hatua, Kuondoka udhalilishaji huu.
Thus not really am leaving in Mwanza and every 2 to 3 wks am taking flight to dsm or Nairobi but i have never see this... istoshe huyo askari wawapii polisi wetu hawanaga mkanda wa hivyo.. pili huyo askri ni mwanamke sema anashepu yakiume ukimtazama vizuri mgongoni utagundua usitufanye sisi wajinga ... na chuki zenu za Serikali ya John Pombe
 
We chizi soma vizzuri
 
Bro kuhusu wauza samaki Sina hakika ,kwani Bei za samaki hutegemeana na ukubwa wa samaki mkuu,Ila bro we hufurahii uumbaji? Ishuu ya kutomasa bro nitakataaaaa na nitaendelea kukutaa mwanaume hawezi mkagua Ke kwa mikono haipo ,na hta hivi Sasa Kuna mafunzo hapo Airport wanafundishwa wanafunzi wapya jinsi ya kufanya ukaguzi ! Pita uone !
Ndugu unabisha kama vile umechanjiwa, nimepita mwanza asb na jamaa ni wanaume watupu (3) ukaguzi wa pili. anyway kinamama naona wanafurahia hali hii. Endeleeni maana hakuna namna
 
Back
Top Bottom