Udhaifu wa wasomi wetu.

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Nimeona ni share ili nanyinyi rafikizangu,mi nipo chuo kama mnavojua vyuon ni mda wa mitihani ya semister ya mwsho,kituko kimetokea leo hapa chuoni,Darasani tunasoma na profesor mmoja wa uchumi anafundisha vyuo kadhaa hapa dar,tukiwa kati ya mitihan msimamizi akawa ana kagua statutes ulikua mtihan wa company basi ndani ya ile act yake yule professor kakutwa ka attach kitabu kizima cha company kilikua ni kituko profesor kudesa,bt ndo vile katia jeuri mpka naingia mitambni alikua ajachukuliwa hatua,
 
Back
Top Bottom