Udhaifu wa wanawake

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
670
202
Udhaifu wa wanawake hasa walio kwenye ndoa wa kupenda vitu vya cheee na kuwapelekea kutoka nje ya ndoa yake, kisa msaada wa Konda kutomtoza nauli ya Mzigo, Kisa mkaa wa Nyongeza wa muuza mkaa jambo hili latokea mtaani kwetu na kujiuliza ni udhaifu ama kulipa fadhila.
 
Udhaifu wa wanawake hasa walio kwenye ndoa wa kupenda vitu vya cheee na kuwapelekea kutoka nje ya ndoa yake, kisa msaada wa Konda kutomtoza nauli ya Mzigo, Kisa mkaa wa Nyongeza wa muuza mkaa
jambo hili latokea mtaani kwetu na kujiuliza ni udhaifu ama kulipa fadhila

Mkuu! Wanawake wewe watazame kama walivyo, ukiwachunguza sana unaweza ukakosa jibu la moja kwa moja kwamba wote wako hivyo au la, kumbe kila mmoja ana peak yake amabyo iko tofauti na mwingine ingawa kuna baadhi ya mambo wanafanana kama wanawake kamili!
 
mkuu hawa wanawake ni kuwafumbia macho tu,vinginevyo utakuwa na stress daily
 
Udhaifu wa wanawake hasa walio kwenye ndoa wa kupenda vitu vya cheee na kuwapelekea kutoka nje ya ndoa yake, kisa msaada wa Konda kutomtoza nauli ya Mzigo, Kisa mkaa wa Nyongeza wa muuza mkaa jambo hili latokea mtaani kwetu na kujiuliza ni udhaifu ama kulipa fadhila.

huu ni umasikini na unachangiwa na sisi wanaume, hebu fikiria tungekuwa tunafanya manunuzi ya vitu vyote ipasavyo kungekuwa na ujinga huo...!?
 
hata uweke kilak2 girls are stupid all the tym kwan huwaon wake zamatajiri wanavyogegedwa kizembe nawazembe ilhali each and everything anapata kwa home yake
 
hadi na PIPI KIFUA NA NYANYA ZA NYONGEZA kwenye shop langu mimi huwa nang'oa
 
huu ni umasikini na unachangiwa na sisi wanaume, hebu fikiria tungekuwa tunafanya manunuzi ya vitu vyote ipasavyo kungekuwa na ujinga huo...!?

that factor is 0,hata ungewapa nini kumegwa ni kama kawaida tu tena kirahisiii...............
 
huu ni umasikini na unachangiwa na sisi wanaume, hebu fikiria tungekuwa tunafanya manunuzi ya vitu vyote ipasavyo kungekuwa na ujinga huo...!?

Exactly Mkuu! Kama kitunguu, mkaa na nauli ya daladala anapewa na mume wake au ana afford yeye binafsi, sidhani atavua chupi kwa hao wauza mkaa au konda wa public transport kwa hoja ya favor wanazompa!!!
Atafanya kwa mtu anayempenda whether ni daladala man au whoever kama binadamu mwenye hisia na si favors!!
 
ni tabia na hulka tu za baadhi yetu na sio wote...hii hata kwa wanaume inaaplai vilevile....wao wanatawaliwa zaidi na tamaa za mwili, hatosheki na mtu wake, anatamani kila kizuri akigegede...so tulio kwenye mahusiano tuombeane kwa kweli.
 
ndo uwe unamwachia mwanamke wako hela ya kutosha, sio unataka nyama kuku samaka huku unaacha 2,000.00
 
hata uweke kilak2 girls are stupid all the tym kwan huwaon wake zamatajiri wanavyogegedwa kizembe nawazembe ilhali each and everything anapata kwa home yake
Una hukakika wanapata kila kitu wanaume wengi hawajui responsibilities zao japo sikatai kuna wanawake wenye tamaa ila asilimia ni ndogo kulinganisha na wanaume wanaopiga kazi za nje.
 
Sidhan kama kuna udhaifu,ila tbais zao pia zina play,,,wapo wenye maisha,wana investments ila mmmh
 
huu ni umasikini na unachangiwa na sisi wanaume, hebu fikiria tungekuwa tunafanya manunuzi ya vitu vyote ipasavyo kungekuwa na ujinga huo...!?

Mkuu hata ukifanya kila kitu basi atatembea hata na houseboy!Ndo maana biblia inasema tunatakiwa kuishi nao kwa akili sana,hekima na maarifa!Hawatabiliki hao!
 
hadi na PIPI KIFUA NA NYANYA ZA NYONGEZA kwenye shop langu mimi huwa nang'oa

juzi nimetoa laki 8 kwenye mpesa yake cha ajabu kang'ang'ania jero tu. Eti kaipenda ! Ooh hajanywa chai, mara oh anataka kununua bigbom. Bandg nilijiuliza maswali nikaishia kucheka. Ckujua anamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom