Udhaifu wa Serikali ya CCM wazidi kuwekwa wazi== Kutekwa kwa Dr. Ulimboka

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Kama serikali ya CCM inajihusidha na utekaji, upigaji na jaribio la kumuua kiongozi wa madaktari nchini, dr. Ulimboka kwa hali inavyoonekana, udhaifu wa CCM imezidi kujidhihirisha.

Watanzania naomba tuamke tupambane hali si hali.

mauaji ambayo serikaali ya CCM imehusishwa nayo ni kama ifuatavyo:-

  1. Mauaji ya Igunga
  2. Usa liver
  3. Jaribio kwa wabunge, Kirumba
  4. Mabwe pande, wafanya biashara wa madini
  5. orodha ni kubwa

Kila mtanzania mpenda amani, TUSHIRIKIANE KUTOKOMEZA CCM; NI JANGA LA KITAIFA

Quality
 
Ongeza pia kwenye orodha mauaji ya Chacha Wangwe ambayo yalifanywa na chama fulani kinacho toka Tanzania Kaskazini!
 
Back
Top Bottom