Udanganyifu wa mapenzi ndani na nje ya ndoa

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
DNA proof: 60pc of male parents not biological fathers

2008-04-21 10:34:10
By Austin Beyadi

The Government Chemist Laboratory Agency has said that among the 250 deoxyribonucleic acid (DNA) samples it received for disputed parentage cases in the year 2005/2006, at least 60 per cent of the cases proved that the male parents were not the biological fathers of the children.

Speaking in Dar es Salaam on Friday, the Chief Government Chemist, Ernest Mashimba, said that the agency receives samples from the department of Social Welfare and registered lawyers and not from individuals.

He said that in 2005/6 it received 250 cases for DNA testing on parentage dispute whereby 150 fathers were proved to be only custodians and not biological fathers.

Only 100 fathers were proved to have biological linkage with the children.

Mashimba said in 2006/07 the agency received another 209 samples for DNA testing on disputed parentage cases. The result were that 53 per cent were biological fathers against 47 per cent, who were not.

``We also use DNA samples in criminal investigations, identification of victims of mass disasters, verifying the identity of human disorders, determining whether a biological material is of human origin, etc ,`` he said.

He said in criminal cases the agency received 28 samples in 2006/7 and that among them 21 percent of the samples involved the suspects with the incidents while 79 percent were not involved with the case.

He further said that during the same period, the agency also received 31 samples of rape cases and that after conducting the DNA test it was discovered that only 3 per cent of the samples were involved with the cases while 97 per cent were not involved with the criminal offences.

He said that every person is genetically unique and genetic compositions do not change through life.

Expounding, he said an individual inherits genetic compositions from both parents.

Mashimba said that in rape cases, semen samples can be used to link the suspect to the samples provided.

He said that in essence, DNA evidence is in principal becoming an irrefutable identification proof and it is useful for excluding the innocent from the case in question.

SOURCE: Guardian
 
Sasa kumbe niliposema wanawake nao hawajambo kwenye mambo ya small houses nilikuwa right! Lakini mimi ninavyoona haya yote yanasababishwa na hao kina baba...hawawatoshelezi wake zao ndani, kutwa kujaza guest...matokeo yake ndo haya sasa. Endeleeni tuu mtabakia kubebeshwa mizigo hivyo hivyo. Hivi nikiwauliza... manakokwenda si hua mtoa hela, alafu nyumbani unawaacha na maharage, basi mjue sasa mnatwisha mizigo miwili kwa pamoja. Kwenye small house, na watoto wakambo...patamu eeeeh! alafu wenyewe wanajiuona mabeberu kumbe hamana kitu...mnafanywa m****a tuu. Poleni kwa wale wajionao mabeberu.
 
Mtoto wako kipenzi kumbe ni mtoto wa yule jamaa mnoko kuliko wote kwenye kampuni anayofanya mkeo , yule ambaye mkeo hachoki kumlalamikia
 
Lakini mimi ninavyoona haya yote yanasababishwa na hao kina baba...hawawatoshelezi wake zao ndani...

Na huko hao wanawake wanakokwenda sidhani kama huwa wanatoshelezwa hivyo. Sana sana wanaishia kupata mimba, magonjwa, na mi drama kibao. Na asipotoa mimba basi anakuzalia mtoto ambaye si wako halafu anakudanganya wewe na huyo mtoto wake kuwa wewe ndio baba. Wanawake wa aina hii wabaya sana. Utamdanganyaje mwanao wa kumzaa?
 
Kama ingekuwa hawatoshelezwi wasingeenda au kubeba hizo mimba! wanakolea ati...kalaga bao wewe hapo hapo... wafanya mchezo na kutengeneza kiumbe nini?
 
Kama ingekuwa hawatoshelezwi wasingeenda au kubeba hizo mimba! wanakolea ati...kalaga bao wewe hapo hapo... wafanya mchezo na kutengeneza kiumbe nini?

Asante dada...watajutaa kutufahamu, hebu nipe five. You have hit it!
 
duh haya bwana

sisi bado tupo tupo

Wewe baki baki au tu halafu ukija kuoa watoto wote 3 sijui 4 siyo wako hata mmoja! Watu wanawekeza,huwekezi kwa siku moja ati!..Usiogope,siyo wote tupo hivyo ila ndo hali halisi kwa wengi kwa kujua au kutojua!
 
Kama ingekuwa hawatoshelezwi wasingeenda au kubeba hizo mimba! wanakolea ati...kalaga bao wewe hapo hapo... wafanya mchezo na kutengeneza kiumbe nini?

Hamna lolote. Kubeba mimba so lazima utoshelezwe. Kinavhohitajika ni kukojolewa tu na ujanja wako wote kwishnehi!
 
Niliwahi kushuhudia ugomvi wa ndowa baina ya mume na mke ,mume akiwa anataka kujuwa ni kitugani kilimfanya mkewe awe anafanya mapenzi na jamaa ambae alikuwa silolote ndani ya macho ya mume zaidi ya kuwa msukuma mikokoteni ,wakati mke hakuwa na tatizo la kifedha na mahitajio ya ndani ya nyumba kuanzia mtumishi mtumihi na mambo mengine. Mke alimjibu mumewe kwa kumwambia kuwa anayonifanyia yule jamaa hujawahi kunifanyia miaka yote hii 8 tuliokuwa pamoja, hapa ndio najiuliza maswali mengi naimani na wezangu wengine watajiuliza.
 
Times change..tunakokwenda hizi longolongo za kulea mtoto wa mtu mwingine zitakuwa hazipewi nafasi mana technologia itatuumbua. Nionavyo tatizo si wanaume tu bali tatizo ni jinsi watu wa leo tunavyojiamini na kuyanendesha mambo yetu. Hata wanawake siku hizi hawajambo kwa uruka njia. Kuna mama mtu mzima aliwahi kuniambia kuwa mtoto wa mwenzio akizuka..we zuka nae tu na alikuwa ana maanisha. Tutafika kwa mwendo huu kweli?
 
hivi unataraji nini wanaume walianzisha kujenga small house wanawake wanafanya finishing tu, mwanamme anarudi saa 8 usiku ukiuliza part ya ofisi, tena anarudi kautwika, na amechoka hamna mfano, asubuhi wa kwanza kutoka na mabriefcase kila siku kama msafiri, cha muhimu hela ya mboga ipo mezani ukiuliza unaambiwa kwani huli, kazi kwenu sasa na watoto msilalamike, hiyo technolojia mtaikimbia imagine una watt 3 wote above 10 yrs, umejaribu mmoja tu DNA imegoma, una haja ya kupima na 2, wakati wewe ulipokatiza hujapata bahati hata ya kusingiziwa, na mkeo anaonekana mtulivu ndugu wote wanamuheshimu utaanzia wapi kusema watt si wangu miaka yoote inabidi ufe kiofisa na tai shingoni, kaaazi kwelikweli
 
Mtoto wako kipenzi kumbe ni mtoto wa yule jamaa mnoko kuliko wote kwenye kampuni anayofanya mkeo , yule ambaye mkeo hachoki kumlalamikia

...naam, naaam...ni wajanja hawa kwenye ku twist maneno we acha tu! unakuta dume zima lina support kilio cha mkewe kuhusu jamaa mnoko, kumbe jamaa ndilo konokono linalomsaidia!

(walume) beware iwapo mkeo kila siku heshi kulalama " lile likaka silipendi mimi!" :D
 
Mungu alipomuuba adamu hakumwacha awe peke yake akampatia msaidizi wa kufanana nae kama mimi na pretty
 
However much u give to a woman(love, care, respect, attention...). she will demand more!!Meen... we have to make it compulsory that new brats undergoes DNA test... even if the it puts the relationship on the lines! better be sorry now than later!
 
Sasa kumbe niliposema wanawake nao hawajambo kwenye mambo ya small houses nilikuwa right! Lakini mimi ninavyoona haya yote yanasababishwa na hao kina baba...hawawatoshelezi wake zao ndani, kutwa kujaza guest...matokeo yake ndo haya sasa. Endeleeni tuu mtabakia kubebeshwa mizigo hivyo hivyo. Hivi nikiwauliza... manakokwenda si hua mtoa hela, alafu nyumbani unawaacha na maharage, basi mjue sasa mnatwisha mizigo miwili kwa pamoja. Kwenye small house, na watoto wakambo...patamu eeeeh! alafu wenyewe wanajiuona mabeberu kumbe hamana kitu...mnafanywa m****a tuu. Poleni kwa wale wajionao mabeberu.

Tunabebeshwa huku tuna bebesha, imagine natunza watoto wawili ambao sio wa kwangu huku nje natunziwa watatu wa kwangu. sijui kuwa natunza wa mtu lakini najua kuwa natunziwa, mama anajua watoto sio wa kwangu anaumia rohoni kuona mtoto wake hapati joto la biological father, inamuuma kuona mtoto anapendana sana na baba ambaye sio wake kikwleli kweli, HAPO NANI ANAUMIA ZAIDI????

Mwisho wa siku we are all ANIMALS tujiachie tu chovya kwa yeyote na muachie mwanzako achovye, MAISHA MUSTAREHEEEE.
 
Back
Top Bottom