Uchunguzi wa Magereza

Gabriel3266

New Member
Aug 2, 2010
4
0
Hey, habari zenu wanaJF? Jina langu ni Gabriel, nipo Dar, na nafanya kazi kwa shirika la kienyeji, na tunatengeneza mradi wa kuwatetea mahabusu na wafungwa wa kike, hasa hasa wanawake wajawazito na watoto wao, na kuwapatia mahitaji ya msingi. Ningependa kujifunza zaidi kuhusu mambo hayo na nafasi za kupata michango, na kadhalika.
Ila Gereza la Wanawake la Kingolwira, mahabusu na wafungwa wa kike wanakaa magereza yapi? Kwa mahabusu na wafungwa wa kike nchini kote, wangapi ni mama wajawazito au wana watoto waliomo gerezani pia? Wanapewa huduma zote maalum?
Asanteni sana kwa msaada wenu. Mungu awabariki.
Wasalaam,
Gabriel
 
Hapo Morogoro Hilo Gereza Halina Wanaume Kabisa Wanafungwa Hapo ?
 
Back
Top Bottom