Uchunguzi wa dna

kvelia

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
246
44
Wataalam naombeni msaada ni wapi nitapata kufanya vipimo vya DNA na gharama yake ni nini?
 
Jaribu ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali au Polisi nao kama wameanza kupima.
 
Ha ha haa @Billie, ukweli siku zote unakufanya uwe na confidence.
 
Ha ha haa @Billie, ukweli siku zote unakufanya uwe na confidence.

Sivuti picha kama ukakuta Hazimatch?Mi mwenzio nilitia shaka lakin busara zangu zikaniambia nisilifanye hilo swala nilee tu maana mtoto mpaka mama kamchagua mlee wewe ujue unafaa kimalezi kushinda huyo jamaa mwingine.WABONGO NI PASUA VICHWA ASIKUAMBIE MTU.
 
Du, hii kali, siku zote wanasema mbona anafanana na wewe, nataka nidhibitishe kweli kama ni mimi basi itakuwa vema na nitaendelea kulea kwa moyo wote kama nilionao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom