Uchumi wa nchi

Mbava

Member
May 18, 2011
30
1
Habari wanajamvi, ningependa kufikisha kwenu ili nijue hasa uchumi wa nchi unapimwa kwa kutumia vigezo gani hasa, kwa sababu huwa tunaambiwa tanzani a ni nchi masikini angali ina mali asili za kutosha
 
unapimwa kwa vitu vingi,ikiwemo Kiasi cha Vitu tunavyo zalisha nchini,na vitu vinavyo zalishwa nje vinavyo tuongezea kipato,usafirshaji wa bidhaa nje uwe juu kuliko kuagiza bidhaa,(kwa ujumla nchi inatakiwa kujitosheleza kwa mahitaji yake kuliko kutegemea nchi nyingine.)
 
Uchumi wa nchi unaweza pimwa na vitu vingi, ila kwa haraka haraka unapimwa na GDP (uzalishaji wa mali ndani ya nchi), unemployment rate (kiwango cha watu wasiokuwa na kazi, ingawa wana sifa za kufanya kazi), inflation (mfumuko wa bei za vitu).......KWA MAWAZO YANGU YA UCHUMI, NAFIKIRI HIVI NI VIASHIRIA VYA KUPIMA UKUAJI WA UCHUMI WA NCHI..........
 
Gross National Product! {GNP} Gross Domestic Product! {GDP} Per Capita Income!
 
Back
Top Bottom