Uchu wa madaraka ndio chanzo cha watu kuhama vyama

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Huyu mbunge aliye maliza muda wake tarime bWANA Mwera Charles Nyanguru KAHAMA CHADEMA NA kakimbilia CUF kwaajili ya kupata tu fursa ya kugombea baada ya kuboronga katika kipindi kilicho pita na watu bila Kumfumbia macho wakampiga chini chadema.

Na hawa wakina mpendazoe the same issue hakuna lolote ni uchu wa madaraka na kutaka sifa nothing, na viongozi wa aina hii, hawafai kwani leo chadema, kesho cuf na keshokutwa utawakuta wanaanzisha vyama vyao ambavyo huwa vinakuwa havina uhai kama CCJ.

Hawajachaguliwa sasa wanatamani kurudi kundini kwa mfano Mwera
 
Kama ni uchu wa madaraka utasemaje kwa Dr Slaa? Mwaka 1995 aliihama CCM baada ya kutoswa (alikuwa wa kwanza kura za maoni) na kuhamia Chadema. Lakini kutokana na kazi aliyoifanya kwa jimbo lake na kwa taifa -- kweli utasema alikuwa na uchu wa madaraka?
 
Sasas nimeamini uchu wa madaraka si mzuri yaani Wale wooote walio hama vyama kwa lengo la kupata ubunge kupitia vyama vingine wamepigwa chini chaliiii,,, sasa wanawaona wenzao waleeee bungeni waleeeeee
 
Sasas nimeamini uchu wa madaraka si mzuri yaani Wale wooote walio hama vyama kwa lengo la kupata ubunge kupitia vyama vingine wamepigwa chini chaliiii,,, sasa wanawaona wenzao waleeee bungeni waleeeeee

Si kweli, vipi hawa...
A. L. Mrema
J. M. Shibuda
 
Aaaah kaka Hata kikwete ange hamia cuf ange pigwa chini mi naamini hivyo,, yule wa Tarime nani kaenda CUF yuko wapi
 
Wengine wanakuwa wasaliti kama Ng'ihili alikichafua chama kwa muda wa dakika chache tu, akakiharibia kikashindwa kuchukua Jimbo la Temeke
 
Yeye na hawa wa sasa si sawa,, kunakutoka kwa hujuma na kwasababu ya kuboronga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom