Uchawi wa Argentina upo kwenye Mkojo...

Bowbow

JF-Expert Member
Oct 20, 2007
541
31
Gilikipa wa Argentine alikua akikoja uwanjani kwa imani za kishirikina kama inavyooonekana wakati wa kombe la Dunia 1990

Refresh mind kwa kusoma

Zaidi, ni visa vyake vingi na ambavyo ni vya aina yake. Hii ni pamoja na tabia yake ya kupandisha bukta hadi chupi ionekane na kukojoa kila alipokuwa akipigiwa penalti na namna alivyokuwa akiwadhihaki waamuzi na kuwafanya wacheke wakitaka wasitake.

Huyu ni Sergio Goycochea aliyekuwa akiogopewa mno kama mchezaji aliyeweka mbele na kuamini mambo ya ushirikina na ambayo kwa kiwango fulani yalionekana kumsaidia, hasa kwa vile yaliwatia wasi wasi wachezaji wa upinzani

kwa habari kamili soma http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/11/12/makala4.php
 
sasa hivi huku kwetu vinasaba vya uchochezi viko kwenye kojo


naomba na huyu kipa aletwe dar achunguzwe
 
Back
Top Bottom