Uchawi huu wa kisambaa ni noma

Nahisi utakuwa na ujuzi zaidi ya huuu ulioweka, hii itakuw subset tu ya capabilities zako....nijuze

Naomba niwe mkweli katika hili egentle, uchawi nilifanya zamani hata kabla sijajiunga na JF, Baadae nikaona natesa watu bila sababu na faida sipati, siku moja nuru ikaniangazia nikatubu na kuokoka nikachukua zana zangu zote na kuzichoma mimi mwenyewe

Huu ni ukweli ambao nauweka wazi leo hapa jamvini, kwasasa sifanyi tena hiyo kazi na nimejitenga na chochote kinachohusiana na uchawi, nimekuwa mtu mwema na hata maisha yangu yamekuwa na amani

Kuna siku niliweka picha ya tunguli hapa JF photos! Zilikuwa zana zangu zile ila kwasasa mimi ni wa KRISTO
 
Last edited by a moderator:

Naomb Url ya hiyo post mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mie uchawi ninao upenda ni ule wa Kupika kilo 10 za mchele na 2 za nyama kwenye msiba/sherehe halafu wanakula watu wote watakao hudhuria tukio hilo. Iwe watu 100 au 500 au 1000 na zaidi ya hapo wote wanakula.
Nililiona hilo kwa mzee mmoja wa Kirangi alishafariki miaka ya mwishoni mwa 90's basi kwenye matukio kama hayo alitumika sana.
 
Ule upo pia na ule mwingine wa kupika chakula kisiive kutwa kucha
 
Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa machoni, mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana

2; Banyanyi; maana yake kuchonganisha, ukipigwa aina hii ya uchawi utagombana na kila mtu

Fuiza; yaani fifisha, aina hii ikikupata kila utakachofanya hakikamiliki au hakifanikiwi

Ushinga; huu huwekewa wanawake, ambazo waume zao wana wivu sana au ambao wana wasiwasi na wake zao kuwa wanacheat,
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.

Kutua nyungu; maana yake kuvunja chungu hii hufanyika sana misibani kwenye sherehe au penye mkusanyiko wa ndugu, Hapa anayefanya hivyo ni mtu ambaye anakuwa hajaridhika au kaudhiwa chochote hivyo husaga chungu na kunuizia na kumwaga ule unga wa chungu kwenye vyombo vya maji,.Yani kila atakayekunywa hayo maji hana maisha tena ni uchawi wa mass killings

Ndele; uchawi wa kukufanya mwanaume upendwe na wanawake

Huo ni baadhi tu...Wanajamii nina access ya kupata hiyo kitu mwenye kuhitaji tuwasiliane
watu mabingwa wa kufufua makaburi, uzi wa miaka 3 iliyopita huu
 
Naomba niwe mkweli katika hili egentle, uchawi nilifanya zamani hata kabla sijajiunga na JF, Baadae nikaona natesa watu bila sababu na faida sipati, siku moja nuru ikaniangazia nikatubu na kuokoka nikachukua zana zangu zote na kuzichoma mimi mwenyewe

Huu ni ukweli ambao nauweka wazi leo hapa jamvini, kwasasa sifanyi tena hiyo kazi na nimejitenga na chochote kinachohusiana na uchawi, nimekuwa mtu mwema na hata maisha yangu yamekuwa na amani

Kuna siku niliweka picha ya tunguli hapa JF photos! Zilikuwa zana zangu zile ila kwasasa mimi ni wa KRISTO
maandishi hayafutiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom