Uchakachuaji wa kura za raisi ulianza tangu mwaka wa 1995 na Nyerere aliubariki!

awtu

Member
Oct 12, 2010
48
0
Sote tunakumbuka jinsi Maalin Seif alivyoshinda Zanzibar na Lyatonga alivyoshinda Dar lakini kwa ruksa ya Nyerere Serikali ya Mzee Mwinji ilichakachua matokeo.
Pia Majaji makini walirule ya kuwa matokeo ya raisi yawe challenged mahakamani lakini serikali ikapeleka mswada harakaharaka bungeni na kupitisha sheria ili yasihojiwe kama ilivyo sasa. Yote haya Mwalimu aliyabariki kwa maana ya kuwahakuyakemea.
http://www.mwananchi.co.tz/mwananchi-jumapili/40-habari-mwananchi-jumapili/7977-serikali-ilichakachua-ushauri-wa-jaji-mkuu

Kwa maana hii, mimi naona JK kuchakachua matokeo ya Dr Slaa ni mwendelezo wa aliyoyaasisi Mwalimu!

Wanajamvi mnasemaje kuhusu hili?:angry:
 
Back
Top Bottom