Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
Mie nachokijua ni kwamba,yule mgombea toka Uganda ni ndugu wa karibu wa yule Muasi wa Uganda,na alikuwa akpewa fedha zote toka huko Uganda na hao waasi.amekuwa akifanya mawasiliano ya karibu na waaasi,na nia ya hiuyo kijana ilikuwa ni kuchukua Uraiss wa DARUSO ili apate power.
Na nakuhakikishia Mkandara hakumsimamisha ila taarifa za TISS ambao waklikataa kijana huyo kupewa madaraka hayo katika chuo hicho.
Nchi hii siyo sehemu ya kujenga waasi.
Na nakuhakikishia Mkandara hakumsimamisha ila taarifa za TISS ambao waklikataa kijana huyo kupewa madaraka hayo katika chuo hicho.
Nchi hii siyo sehemu ya kujenga waasi.