Uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) ni tarehe 17.03.2017 jijini Arusha,

Yaani watu tunaheukwa kiujinga,inamana hizi kura za humu ndizo zitakazomueka huyo rais?mbona Kama watoto vile?kwanza chama chenyewe kinaenda kufutwa hoja inapelekwa bungeni na mwalimu wake lissu Mh Mwakyembe.
 
Uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) ni tarehe 17.03.2017 jijini Arusha, mchuano mkali ni kati ya wakili mbobezi na msomi TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU, dhidi ya wakili mbobezi FRANCIS STOLLA.

Unadhani kura yako ina mfaa nani kati ya hawa??

A. Tundu Lissu.
B. Francis Stolla.
View attachment 471395
Hakuna kama Lisu
 
Back
Top Bottom