Uchaguzi wa Rais CBE Dodoma ni ccm na chadema

Smallnick

Member
Jan 8, 2011
12
0
Ni hali ambayo imemuacha kila mtu domo likiwa wazi baada ya kugundua kwamba CCM ilipandikiza wagombea wake 4 ambao katika hao wawili ndio wamefanikiwa kupitishwa na screening commette ambayo nayo haikua ikiaminiwa kbs na wanachuo kwani nayo iliaminika kuwekwa kwa makusudi ya kuhakiki CCM INAMUWEKA RAIS
 
Back
Top Bottom