Uchaguzi wa m/kiti chadema mkoa wa mbeya.

makanga

Member
May 28, 2011
26
1
uchaguzi wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa m/kiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambalala(gamba jipya) unafanyika tarehe 20/06/2011.hivyo wawakilishi wetu kwenye uchaguzi tunaomba msirudie kosa mchagueni mtu ambaye ni 1.muadilifu 2.mwenye uzalendo kwa chama 3. mtu ambaye hataleta mgawanyiko katika chama 4.mtu ambaye anaweza kuunganisha mabaraza yote ktk mkoa 5.mtu mwenye maono 6,mtu anayezingatia haki za kila mwanachama 7. awe na busara 8.na zaidi asiwe kibaraka wamagamba(ccm).Hivyo basi mtu yeyote mwenye cv za wagombea wetu tunaomba kwa mara nyingine atuwekee jamvini ili tuanze kuwachuja humuhumu kabla hawajatuharibia mambo.Tunawatakia maamuzi mema mnaoenda kuchagua viongozi. ONYO:Rushwa ni adui wa haki hivyo haki itendeke!!!!!!. Nawasilisha.
 
wajamvi hasa mlioko mbeya tunaomba mchango wenu sana hii ni kwa manufaa ya chama chetu!!!! tusirudie kosa tena!!!!!peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!: poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!!!!1
 
Ha ha ha! hiyo imetulia lakini wajue kila kona magamba yanawavizia!
 
uchaguzi wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa m/kiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambalala(gamba jipya) unafanyika tarehe 20/06/2011.hivyo wawakilishi wetu kwenye uchaguzi tunaomba msirudie kosa mchagueni mtu ambaye ni 1.muadilifu 2.mwenye uzalendo kwa chama 3. mtu ambaye hataleta mgawanyiko katika chama 4.mtu ambaye anaweza kuunganisha mabaraza yote ktk mkoa 5.mtu mwenye maono 6,mtu anayezingatia haki za kila mwanachama 7. awe na busara 8.na zaidi asiwe kibaraka wamagamba(ccm).Hivyo basi mtu yeyote mwenye cv za wagombea wetu tunaomba kwa mara nyingine atuwekee jamvini ili tuanze kuwachuja humuhumu kabla hawajatuharibia mambo.Tunawatakia maamuzi mema mnaoenda kuchagua viongozi. ONYO:Rushwa ni adui wa haki hivyo haki itendeke!!!!!!. Nawasilisha.
Kamanda tuna kushukuru kwa kutujuza kuhusu uchaguzi wa Kiongozi wetu huko Mbeya. tunawaomba wana Mbeya wajitokeze kwa wingi katika zoezi zima ili kupata kiongozi mzalendo ambaye hatakuwa tayari kununuliwa na magamba.
 
uhai wa chama mby utaletwa na wanambeya wenyewe!!!!!!
 
ushauri wa bure tu kwa mbowe asiingilie uchaguzi huu,
jamaa anasemekana natengeneza mtandao wa watu watakaomlinda katika uchaguzi wa chama ujao na katika baraza kuu la chama, jamaa ameamua kukaidi utaratibu wa chama wa kukaa miaka kumi na kuachia ngazi, sasa yeye anataka kuendelea miaka mitano tena jamani wale wote wenye nia njema na nchi hiii wamuombe mbowe asimtumie slaa kama alivyomtumia kwa vijana bavicha.....eti mazingira ya rushwa, yani wakishindwa watu wa mbowe tu ndio mazingira ya rushwa yanaonekana....slaa uwe macho sana....
 
ushauri wa bure tu kwa mbowe asiingilie uchaguzi huu,jamaa anasemekana natengeneza mtandao wa watu watakaomlinda katika uchaguzi wa chama ujao na katika baraza kuu la chama, jamaa ameamua kukaidi utaratibu wa chama wa kukaa miaka kumi na kuachia ngazi, sasa yeye anataka kuendelea miaka mitano tena jamani wale wote wenye nia njema na nchi hiii wamuombe mbowe asimtumie slaa kama alivyomtumia kwa vijana bavicha.....eti mazingira ya rushwa, yani wakishindwa watu wa mbowe tu ndio mazingira ya rushwa yanaonekana....slaa uwe macho sana....
kwa nini kwa Mbowe tu!na humsemi Zitto,kwa taarifa Mbeya hatuna Mbowe wala Zitto,tuna CHADEMA!
 
Uchaguzi upo na wagombea 11,wamerudisha form,kiukweli bila kuficha,kuna wagombea ambao wanatoa rushwa,na wapo ambao kuna mkono wa Magamba,kiukweli tunatakiwa kuwa makini lakini MUNGU ATATUSAIDIA TUTASHINDA
 
mkuu jambo la msingi ni kusimama kidete kama una uhakika na tuhuma za rushwa sema hata kuwataja wahusika ila siyo kwa unafiki jambo jingine ni kuwaomba wapiga kura kuangalia uhalisia wa mtu ktk kukijenga chama mkoani Tafadhari sana wapiga kura msituangushe ' MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI MBEYA, MUNGU IBARIKI CHADEMA FOR PEOPLE'S POWER
 
Mkifanya vizuri uchaguzi huu, mtachukua majimbo yote ya Mbeya 2015, kama mlipata mawili wakati gamba Shita lilikuwa ndani ya CDM basi mjue mna nguvu sana na mnakubalika. Nawaombea Heri.
 
uchaguzi upo na wagombea 11,wamerudisha form,kiukweli bila kuficha,kuna wagombea ambao wanatoa rushwa,na wapo ambao kuna mkono wa magamba,kiukweli tunatakiwa kuwa makini lakini mungu atatusaidia tutashinda
kweli kamananda tupo pamoja tutashinda ila tuchukue taadhari mapema!!!!!!
 
Uchaguzi upo na wagombea 11,wamerudisha form,kiukweli bila kuficha,kuna wagombea ambao wanatoa rushwa,na wapo ambao kuna mkono wa Magamba,kiukweli tunatakiwa kuwa makini lakini MUNGU ATATUSAIDIA TUTASHINDA
TAKUKURU wapo wapi??
 
mkuu jambo la msingi ni kusimama kidete kama una uhakika na tuhuma za rushwa sema hata kuwataja wahusika ila siyo kwa unafiki jambo jingine ni kuwaomba wapiga kura kuangalia uhalisia wa mtu ktk kukijenga chama mkoani Tafadhari sana wapiga kura msituangushe ' MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI MBEYA, MUNGU IBARIKI CHADEMA FOR PEOPLE'S POWER
tuko makini sana na hilo,sina unafiki majina ya watoa rushwa na ushahidi vimetumwa makao makuu,na taarifa niliyonayo sasa,uchaguzi umeharishwa kwa uchunguzi wa tuhuma hizo,
 
Back
Top Bottom