Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Mbulu leo tarehe 19 July 2014

Nashukuru Sana Kamanda Mungi kwa hizi tarifa nzuri kazi ya Chadema inaonekana hakuna memo wala vi bahasha vya ajabu ajabu
 
BAVICHA:
->Wagombea nafasi ya M/kiti wa BAVICHA-03
◆YUDA QORYO GURTY 28
◆AGUSTINO BALOHHO 08
◆JOHN Y.KWAANGW 15
Zimeharibika 03

->Wagombea nafasi ya Katibu wa BAVICHA-01
◆JACOB MANASE BOAY
Kura za NDIYO 51
Kura za HAPANA 03


->Wagombea nafasi ya Mratibu wa Uenezi BAVICHA-01
◆VERONICA SLAA
NDIYO 51
HAPANA 02

->Wagombea nafasi ya Mweka Hazina wa BAVICHA-01.
◆PAULO ISARA
NDIYO 44
HAPANA 05
ZIMEHARIBIKA 01

Tutaendelea kuwajuza!
 
Hivi Mbulu hakuna Waislam jamani, Chadema hivi Waislam waliwakosea nini.

kama wapo ulitaka walazimishwe kuchukua fomu? CDM inatoa fomu kwa kila mwanachama mwenye kuhitaji na uzuri wanachama wa cdm tunalifahamu hilo.Mlaaniwe tu makaburu nyie!
 
Mustapha Akonaay ni muislamu, na ni mbunge wa Mbulu. Hoja zenu za udini ziwarudie ninyi wenyewe

Mkuu Mungi ya nini kujibizana na hao wahuni?temana nao
Chadema si kanisa,si msikiti wala si Sinagogi hivyo sifa ya kuangalia dini ya mtu haipo.
Hata hivyo imani ya mtu ipo rohoni na si kwenye majina
Kuna wanaoitwa Benard lakini ni waislamu na
kuna wanaoitwa Hassan ni wakristo.
 
Back
Top Bottom