Negotiator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 303
- 44
Wasanii wetu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita walisikika wakilalama kua wametelekezwa na JK kinyume na alivyoahidi wakati wa kusaka kura. leo kwa kuganga njaa ya msimu wanajitutumua kumfagilia yule yule waliyelalama kawatupa. Siasa hizi za CCM haziwageuzi wasanii hawa kua madekio? Na wenyewe(wasanii) wameafiki hilo