Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 ufutwe pesa zitengeneze miundombinu ya barabara zilizoharibiwa na mvua za El Nino

mpasta

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
917
1,997
Mvua za ELNINO ni janga la Kitaifa. Hali ya miundombinu ya barabara ni mbaya kuanzia za mitaani mpaka barabara kubwa. Ningekuwa na uwezo ningefuta uchaguzi wa serikali za mitaa na kutumia pesa zake kukarabati miundombinu ya barabara.

Mwaka 2019 Uchaguzi wa serikali za mitaa ulitumia bajeti ya Bilioni 82, pesa ambazo kwa mwaka huu zitakuwa ni zaidi ya hapo, hivyo zikichanganywa na pesa za bajeti ya maafa tutaweza kurudisha hali bora ya miundombinu.
 
Mvua za ELNINO ni janga la Kitaifa. Hali ya miundombinu ya barabara ni mbaya kuanzia za mitaani mpaka barabara kubwa. Ningekuwa na uwezo ningefuta uchaguzi wa serikali za mitaa na kutumia pesa zake kukarabati miundombinu ya barabara. Mwaka 2019 Uchaguzi wa serikali za mitaa ulitumia bajeti ya Bilioni 82, pesa ambazo kwa mwaka huu zitakuwa ni zaidi ya hapo....hivyo zikichanganywa na pesa za bajeti ya maafa tutaweza kurudisha Hali bora ya miundombinu
Usiwe na shaka, pesa za uchaguzi zipo na pesa za barabara zipo.
 
Back
Top Bottom