Uchaguzi mkuu wa sudan tarehe 11-13 april 2010

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Sudan ni nchi ambayo inaongozwa na Field Marshall Omar al Hassan Bashir kwa kuipindua nchi hiyo mwaka 1987 mpaka leo hii ndio amejivua cheo chake cha Field Marshall na kuwa raia na kuamua kugombea kama raia mwema. Wachunguzi wa mambo wamesema Bashir amejihakikishia kushinda kwa asilimia 95% je huu sio udikteta? kwa maelezo zaidi tembelea mtandao wa huko Sudantribune, New version (gazeti la suda), mtandao wa kikundi cha waasi cha JEM inaitwa www.sudanjem.com ambacho kina wanajeshi wengi wanaosaidiwa na Chad pamoja na Eltrea. Lolote likitokea tutajulishana asante
 
Jimbo la Darfur inchini Sudan ambayo leo ni siku ya mwisho ya uchaguzi,Jana askari wanne wa kulinda amani Wametekwa nyara na wassi wa huko ila Juhudi zinaendelea kuwatafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom