Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Nyie si mlitaka UHURU isifie CDM ndio lionekane gazeti la maana, wamesema ukweli kabisa. CDM ni chama cha wahuni na wavuta bangi.
 
Hivi gazeti hili la Uhuru viongozi wake huajiriwa kwa kuzingatia vigezo gani maana watu inabidi tufike mahali tukajiulize kwa jinsi wanavyoshangaza ulimwengu. Mienendo yao ni ya enzi za chama kimoja na kule kuwekea siti ya gazeti mashuhuri wakati ...
 
Mawazo haya ni ya enzi za Mao wa China na its era has gone nani mjinga hadi sasa kukalia huu ujinga wa akina Tambwe? Watanzania wanaona na wanajua kwamba muuaji mkubwa na mleta vurugu ni CCM kwa hali zote kuanzia na Jeshi la polisi hadi huduma kwa wananchi wake CCM inaua hadharani .
 
Ukishaanza kuona CCM wanatapatapa hivi ujue jimbo wamepoteza.Si dhani kama wananchi wa Igunga ni wajinga hata mkawafanyia usanii wa kumleta RA kwenye uzinduzi.Ni kama mlikuwa mnawazomea.Kumbukeni rombo JK alipomsafisha Mramba jukwaani ili hali serikali yake ndio iliyo mshitaki.Warombo wakaona isiwe tabu toa yeye weka mwingine, uwezi mpa mtu kashfa halafu unamsafisha kipindi cha kuomba kura.
 
Mod, mmeunganisha thread nyingi mpaka zinaboa kusoma, maana zimejichanganya, hakuna hata mtiririko mzuri.
Kweli hawawezi kuchanganya kila mada inayohusu Igunga
mfano thread ya 'Nipo tayari kuvaa magwanda' na 'Sera za wagombea', Picha zote zimechanganywa hata kama zote ni mboga lakini huwezi kuchanganya maharage, dagaa, mchicha, samaki, nyama, dengu pamoja ladha itaharibika, mimi mwenyewe na wakati nakwenda kulala niliacha post ya 160 nimeamka nikakuta post ya 3,100 hadi unaona uvivu kutafuta ulipoishia.
 
Nyie si mlitaka UHURU isifie CDM ndio lionekane gazeti la maana, wamesema ukweli kabisa. CDM ni chama cha wahuni na wavuta bangi.

Haona vijana wa nape mpo kazini... Ongeza juhud mkuu ana hesabu idadi ya post.....
 
Hili ni gazeti lao kwa hyo tusitegemee wataizungumzia CDM chanya katika kampeni za Igunga,wauaji wakuu wa raia ni ccm wakisaidiana na Jeshi la polisi hata hvyo poleni sana watz wa sasa wanajua kuchambua zipi pumba na zipi si pumba,nyie ccm subirini hukumu yenu
 
"Kama alivyonena Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, kwamba ‘hivi karubuni, siku zote mbwa anayebweka sana, huwa haumi,’ hivyo hilo limekuwa haliumizi kichwa CCM ambayo imeenda katika matendo zaidi."

Kama haliwaumizi kichwa andiko hili ni la nini? CCM mmeshikwa pabaya msijidanganye kuwa kichwa hakiumi sababu ya CDM, hayo ni maneno ya mfa maji.
 
Regardless of the source ya hii habari..inabidi tukubaliane kuwa..chadema wamekuwa chanzo cha vurugu na vifo vingi vya watu wasio na hatia

Ni upumbafu gani huo unausema? Jamani ccm imewapa nini mpaka mnaongea uongo na kumkosea muumba wenu? CHADEMA imeua watu lini na wapi? Tena eti wengi! Kuzidi ccm inayomaliza watanzania wengi kwakutokusimamia sheria za nchi na kuacha ajari za kizembe zikiua watz?! Kama ni chama cha vurugu mbona kinaruhusiwa kuwepo na msajili wa vyama?
 
Hapo zamani kulikuwa na usemi huu"kitendo chochote kinachompa mtu uhuru wa kutoa maoni yake ni kitendo cha maendeleo japo kuwa hakimwongezei afya wala shibe".

Ahsante kwa kujitahidi kutuelezea UPUPU wako ambao haukusaidii chochote kwako na kwa familia yako. Lakini unatakiwa kujua kwamba mtu yeyote mwenye akili timamu huwezi kumshawishi kuamini uliyoyaandika kwa wakati wa sasa. Tafadhali tafuta Upupu mwingine
 
Mod, mmeunganisha thread nyingi mpaka zinaboa kusoma, maana zimejichanganya, hakuna hata mtiririko mzuri.

Kweli kabisa hapa mods wameboronga.

Hata kama threads zote zilizounganishwa zinahusika na uchaguzi wa igunga lakini kuziunganisha ni kuleta usumbufu usio na ulazima na matokeo yake ni watu kushindwa kufuatilia kwa makini yanayojiri igunga.

Kwa mfano kuunganisha thread ya mtu kusema atavaa gwanda chadema ikishinda na ile ya video ya tindikali ni vitu haviendani kabisa ama uzinduzi wa kampeni za vyama tofauti haipaswi kuunganishwa. Labda wangesubirio uchaguzi uishe ndipo waziunganishe kwa ajili ya future reference.
 
Hv wewe kuvaa gwanda nayo umeona ni issue ya kujitafutia umaarufu!!!!! Mbona hata wa MAGAMBA walikuwa wanavaa gwanda na kuwavalisha watoto tena wanawaita chipukizi. Baada ya kupoteza imani kwa wananchi sasa mnajidai eti magwanda ni ANASA ila magamba ndo SIFA YENU!!!!!!!! Mnachekesha kweli. Fikiria mara mia kisha ujiondoe kwenye upuuzi ulionao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom