Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Mkapa leo alipokuwa akizindua kampen za ccm ameshindwa kujibu hoja za Mbowe na Slaa ya kwamba ni kwanini alijiuzia mgodi wa kiwira, pesa za kagoda ziko wapi? Matokeo yake anasema igunga ya 1994 si hii ya leo na ni wilaya inayoongoza kwa maendeleo kwa mkoa wa Tabora. Swali ni kwanini walale nzega wakati wanapiga kampeni igunga? Ki ukweli nzega iko juu zaidi ya igunga na wilaya zingine. Nawasilisha wana jf

Ben M!! sina hamu nae, shauku ya watanzania kujimilikisha mali za umma kadri inavyowezekana iliongezeka sana utawala wake, ni attitude mbaya sana aliijenga miongoni mwa vijana. binafsi aliboa,na ataboa milele.
Ila namkubali upande wa mipango, aliibadirisha kabisa TZ ikapiga hatua kimaendeleo, hiyo sifa siwezi mnyima. Ila akili zikizidi bana!!!!!!! akamalizia na kupora utajiri wote wa nchi kajiwekea mfukoni mwake. hapo alitumia vibaya uwezo wake.
Naona JK atupie mwilini kati ya ziel suti tano alopewa, akazindue kampeni, atapata kura nyingi za designers wa mavazi kama wapo huko igunga

Kweli jamani,2nataka picha,alafu hata kama wa2 walikuwa wengi,tatizo ni nini?waache wasikilize uongo wao an then wapime nani mkweli,wanaigunga udom,uwanja wa ndege,uwanja wa mpira haviwasaidii sana,wanataka reli,hospital,shule,na umeme,wanaigunga Rostam alisema,nanukuu,,,ccm ni chama chenye siasa uchwara......akaamua kuachana nazo,, sasa mtaikubali vp hiyo ccm?

Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.

Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.

Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!

Hatuhitaji magamba kwetu

Naamini Zitto kama binadamu hawezi kuwa kila kona wanakokuwa viongozi wakuu wa CHADEMA. Kuzindua kampeni mpaka viongozi wote wawepo? Jamani nadhani wana CDM mfike mahali muwe realistic!

Kweli kabisa mkuu.

Nimesema licha ya yote hayo watu hawakuzidi wa cdm.pia hotuba zote zimeisha saa kumi na moja kasoro dak saba.saa nzima muziki.hafsa kazinja,na dokii wametingisha viuno.hakuna maandamano kusindikiza viongozi.

Na haya yote ni matunda ya CCM

Inatakiwa uwezo mdogo tu wa kutambua faida zilizoletwa na CCM na hasara zilizoletwa na CCM,Hasara ni nyingi.Kujenga barabara hatukatai,je ni kwa kasi gani hayo yanafanyika???

hebu weka hapa hizo picha! yani hadi toti walikuwa huko?

Kuna habari kuwa TOT katika show zao kwenye kumbi mbalimbali kwa Dar hazilipi. Yaleyale ya Uhuru na Mzalendo.

Uwepo wao ktk kampeni hizo una "two ways profit", TOT wanapata posho lakini wakina "Tambo Hizo" wanapata vipoozeo.

hizo ndizo za Mkapa na Kikwete labda umesahau tukukumbushe...

Huyu baba ana mikosi-si unakubuka alipoingia madarakani MV Bukoba ilizama na kuua watu takriban 1,000; baadaye kidogo gari moshi likapinduka vibaya na kuua? Hata Septemba 11 (ya Tanzania) ni kwa wakati wake? Kubwa kabisa hata uhai wa Baba wa Taifa ulitoweka mikononi mwake? Leo meli ya Spice imezama akijiandaa kuzindua kampeni. Msisahau Dkt Omar kaondoka katika kipindi chake. Katika historia ya Tanzania, uchaguzi mkuu uliahirishwa mara moja tu wakati anaondoka. Hii si ishara njema!

Ndugu yangu inaonekana wewe hujatumia akili yako vizuri kutoa ahadi kali namna hiyo...inamaana wale wananchi wote waliojitokeza jana igunga ni wajinga au???acha mawazo mabaya namna hiyo, umati ule umewakilisha hisia za watu milioni 40 sio hisia yako moja tena inawezekana wewe ni moja ya mafisadi wa kutupwa nchini..kama ungekuwa na huruma na nchi yako usingeweza kuongea namna hiyo..shame up on u...

Huyu jamaa (Mwita) hana cha ufisadi wowote,analia njaa tu kina nepi wamuone.C unajua magamba hata ukikitetea kwa pumba unaonekana wa maana,si unamkumbuka mzee makamba na pointless zake.Ndo kama huyu jamaa mwita

Burdani kwa tunaotoka kwenye mkutano mzito wenye hadhi ya kuhutubiwa na BIG BEN MKAPA. Pigeni porojo tu hapa JF soon nawarushia picha za kutano muone CCM inavyokualika Igunda hakuna cha CDM wala CUF hapa.

t

h
Nape mambo?
Za cku nyingi bwana.
Kumbe bdo unapatikana kwa mtandao huu wa achebe?
Karibu xana.

Kweli Zitto hakuhudhuria katika ufunguzi wa kampeni, lkn siy yeye tu kuna viongozi wengine hawakuhudhuria.
VIPI CCM:
>> Kikwete alikuwepo kwenye uzindizi?
>> mbona kikwete hakuenda Znz ? Lkn zitto leo katua huko.

kwangu mkapa nae ni gamba, yaani hao mapacho watatu wanawaonea, ilitakiwa kuwa mapacha wanne. na kwa hizi tuhuma za kikwete ane ni gamba, tena namba 1. nape aanze kuimbisha wimbo wa mapacha watano(i.e mapacha watatu remix).
wenye ujuzi hata kidogo wa udaktari wa binadamu wanajua kwamba mgonjwa ambaye umeanza kuumwa ukimwi(aids) mganga anaweza kuwa anaumiza sana kichwa kutafuta kinachomsumbua mteja wake kwa siku nyingi kama hataweza fikiria ukimwi kati ya magonjwa yanayoweza kuwa yanamsumbua mteja wake. ila siku akifikiria ukimwi, akampima mgonjwa wake na akakuta ndiyo unaomsumbua, basi mganga kwanza atarelax na ataacha tena kutafuta tatizo. ataanza sasa kumtibu.
scenerio hiyo ndo inakisumbua chama changu CCM. CCM tunasumbuliwa ana 'sydrome', wala siyo 'disease'. na hiyo ni 'kikwete syndrome' wala siyo kitu kingine. as long as jamaa yupo madarakani migogoro haitaisha ndani ya CCM. nape anajifanya hajui ugonjwa unaoisumbua CCM, anajua ila anazuga tuu apate ugali.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom