Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Wote wanaweka pingamizi kumpinga mgombea wa CAF hakupitishwa na kikao rasmi cha chama chake zaidi waliandika barua ya utambulisho na kusainiwa na mtu asiye na mamlaka kichama CAF niwakurupukaji sana ngoja tusubiri.
Humo kwenye red: ina maana ili kugombea ubunge ni lazima mgombea apitishwe na Shirikisho la soka la Africa? Hii kali!
 
Huyu Mzee kama kawa ndo zake kuchakachua tangia siasa za chama kimoja.
 
Kamanda ichanganye hiyo taarifa humu humu tukaisome na kufanya udadavuaji wa kimtindo sasa hivi tu!!!

Kwani umesahau habari ya suti ya dhahabu na mi-EVENTS mbali mbali ilivyonyofolewa hapa ubaoni mpaka wanajukwaa tulipopiga kelele ndio akina Maxence Mello wakaona aibu kuirudisha??????????????

Nimeweka taarifa ya mkakati Igunga na jinsi JF,WAHARIRI NA WAANDFISHI WALIVYONUNULIWA ILA NAONA HAIPOSTIWI JE?Moderetor nao wamefikia bei?
 
Yani CCM tegemeo lao ni Wassira....lol!! Kweli chama kinaelekea pabaya,ila tunashukuru maana wanatuongezea mtaji CDM...naomba na hawa waende jamani...
  1. Yusuf Makamba
  2. Chiligati
  3. Mkuchika
  4. Hawa Ghasia
  5. Celine Kombani
  6. Ngeleja
  7. Tambwe Hizza
  8. ......................
Ngereja................. Na hili giza ataeleza nini zaidi ya kutaja MEGAWATI...
 
Mwita25, za siku nyingi ndugu??

Mbona tangu kuibuke sakata la SUTI YA DHAHABU na yale Ma-EVENTS zetu Uswahilini wewe na FF pamoja Kishongo mmekimbia ghafla jukwaa na hatimaye kuibukia tu Igunga na huyu mtaalam wa kusinzia????????

Siyo kuokoa jahazi ila anawajibika, kama kada wa CCM, kufanya lolote linalowezekana kuhakikisha magwanda hawapati madaraka.
 
Kwanini hakuna atakae muwekea pingamizi mgombea wa CuF?' JE sisiemu kumwekea pingamizi(i predict that) mgombea wa chadema ndio demokrasia au woga??
 
Mpaka ilipofika saa 10. Leo jioni ni wagombea wa vyama viwili tu ndio walio wekewa pingamizi walizowekewa na chama cha wanainchi CUF, taarifa tulizozipata kutoka katika vyanzo vya huko Igunga. kuhusu ni pingamizi zinahusu nini nitaendelea kuwajuza
 
Mitandao ya kijamii nayo wainunue? -- sina uhakika kwa hilo ila kwa JF hata waje na 100billion tutasema ukweli daima fitna kwetu mwiko.

Sina uhakika na msimamo wa JF siku hizi kwani thread nyingi zinafutwa futwa kama zinawakwaza watawala!! Inaelekea kuna mods. VIRUSI wameingilia janvi.
 
Unaham yakumwona akiwa amesinzia hee! Anaeza kusinzia jukwaani
 
mpaka tunafika saa 10 jioni ni vyama viwili ndio vilivyowekewa pingamizi vyama hivyo ni CCM na Chadema ambazo pingamizi hizo wamewekewa na na chama cha wanainchi CUF, Tunaendelea kutafiti ni pingamizi zinahusiana na ni nini nitaendelea kuwajuza hapa jamvini.
 
Mwandishi Jacob Daffi wa mwanahalisi amedai kunasa waraka wa ccm unaelezea kwamba ccm imepanga kutumia sh milioni 35 kuhonga waandishi wa magazeti na television ili kupika habari nzuri kuhusu chama hicho.

Lengo ni kuhakikisha habari nzuri tu ndizo zinaandikwa kuhusu kampeni za Igunga.

Kwa mujibu wa waraka huo magazeti yatakayotumika kwa mkakati huo ni mwananchi,majira,nipashe,jambo leo,habari leo na mtanzania.

Television zitakazohusika ni itv,tbc one na chanel ten.Pia baadhi ya mitandao ya kijamii itahusishwa katika mpango huu mchafu.

Imedaiwa mpango huu wote umeandaliwa na idara ya nape nnauye.Habari kamili imeandikwa uk wa 6 wa mwanahalisi.


Tabia ya kuhonga vyombo vya habari mchezo wa vyama vya siasa hapa nchini! Tabia hii ya kununua waandishi ni mchezo wa kawaida kwa Chadema na CCM!
 
Mitandao ya kijamii nayo wainunue? -- sina uhakika kwa hilo ila kwa JF hata waje na 100billion<b> tutasema ukweli daima fitna kwetu mwiko.
i will always tell the truth coz i think it helps.! This i do believe is the filosofi of Many Jf members
 
miongoni mwa waliochukua form za pingizi kwa mujibu wa magayane ni ccm na cdm, cuf walichukua form lini.
 
Nimesema mara kadhaa humu. CUF na CHADEMA mtawapa ushindi CCM wa "kishindo" endapo mtaendelea kutafunana hivi. CCM watakuwa wanapongezana sana tu kwa kuangalia mnavyosigana hapo Igunga. Ushauri wangu kwenu CUF: Kwa kuwa Maalim Seif ameonekana akianza ziara ya kiserikali mkoani Tabora kabla hajafika hapo Igunga, kuna haja gani ya ninyi kuweka mgombea?

Unamaanisha kusema nini "CUF na CHADEMA".
Mbona mnataka kumuonea CHADEMA katika kila jambo aisee.
CUF na CCM ni kitu kimoja, wako against CHADEMA sasa kwa nini unapindua pindua maneno?
au unataka kuchanganya watu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom