Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
CCM, CUF, CHADEMA...!

Wote wazushi tu, mnatuharibia nchi na siasa zenu za kukopa kopa.

mkuu mungi chadema walikuwa na wako makini sana kwenye swala la igunga kwani bado wanakumbuka yaliyotokea mbeya mgombe alikuwa na ulinzi wa kutosha..kushughulika na hawa magamba lazima uwe makini sana

Kweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!
Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.
Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!
Taja source ya habari yako sio unakurupuka kubadili nyeusi kuwa nyeupe.

Changanya na za Kwako, Hao sio CUF ilani......

Tunaoishi igunga tunafaham rangi halisi ya cuf, jinsi wanavo nunua bendera za cdm huko vijijini, na mambo mengi mengi mengi mnooo!

Changanya na za Kwako, Hao sio CUF ilani......
attachment.php

View attachment 36649

Jamani nisaidia hivi hawa ni ccm au cuf? ok ni Bibi na bwana wanatembea wakiwa wamependeza

Kweli nimeamini JF kuna wataala wa kugeuza Habari!

Ukweli wa hii habari ni kwamba CDM ndio wamewaingilia CUF na kuwafanyia fujo!CUF tayari wameshaliripoti hili.

Leteni habari hapa kwa umakini bila kukurupuka plzz!

we acha uongo,sie hapa ndo tuko igunga,ukweli ni kwamba CUF walipangia kuanza maandamano yao ya kurudisha form saa saba na CDM saa nane mchana, ila cha kushangaza CUF kwanza hawakupeleka form yao katika muda uliopangwa na pia walienda kupaki gari lao la matangazo karibu na office ya CDM kama hiyo haitoshi wakasubiri mpaka walivyoona msafara wa CDM umeanza safari saa nane nao wakachua gari lao na kuingilia msafara wa CDM na kulipaka katikati ya balabala, ikabidi member wa CDM waanze kulipisha ilo gari,kama hiyo haitoshi tena kwa mara ya pili CUF wakakatisha tena katikati ya msafara wa CDM karibu na stand ya haisi bila sababu yeyote!

Huo ndio ukweli msiwandanye wanaJF.

hivi hatuna vijana wa cdm wa kuripoti kupitia jf live tukio hili? Hawafahamu umuhimu wa jf kama kipaza sauti huru kufikia potential people wenye ushawishi? Naamini wapo vijana kule,leteni habari on time bana

Jf ya sasa siile uliyoizoea kuposit tukiyo niishu inaonekana imevamiwa na wachakachuwaji

Jaman mimi mwenyewe npo igunga nimeshuhudia jins cuf walivyofanya vurugu nipo tayari hapa ku-upload picha zao. Naomba kuwasilisha ukweli

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom