Ubunifu wa JPM na Shein ni wa kupongezwa!

Hakika mfumo mpya wa kuadhimisha siku za kitaifa pande zote za Muungano zimeleta msisimko kwa wananchi.Leo katika hotuba zao Shein na JPM kwa nyakati tofauti kutokea Zanzibar na Simiyu na Shinyanga wameelezea kuhusu jambo hilo..

Nawapongeza kwa ubunifu wa kizalendo.
ONA WATU WALVYOKUPONDA, JITAFAKARI, SOMA ALAMA ZA NYAKATI
 
Kwani nani anawalazimisha watu kuanzisha nyuzi? Sasa huu uzi gani sasa!
 
Hakika mfumo mpya wa kuadhimisha siku za kitaifa pande zote za Muungano zimeleta msisimko kwa wananchi.Leo katika hotuba zao Shein na JPM kwa nyakati tofauti kutokea Zanzibar na Simiyu na Shinyanga wameelezea kuhusu jambo hilo..

Nawapongeza kwa ubunifu wa kizalendo.
Benchi linaumiza. Ndio maana mmkja huwa haji baraza la mawaziri maana naye huwa anahesabika kama waziri kwenye cabinet
 
Back
Top Bottom