Ubunge jimbo la Kwimba 2020

mandago shululu

Senior Member
Mar 24, 2013
124
34
Leo tarehe 08/02/2016 nimetanganza Rasmi kugombea ubunge jimbo la kwimba 2020 kupitia tiket ya Chadema.

Hakika patachimbika 2020,let the Philosophers be the kings and the kings be philosopher.

Wilbert Mandago
K/tibu CDM (W) Kwimba
Diwani Kata M,halanga-Kwimba
Graduate at SAUT 2013 Bphiled
Now taking Second Degree HRM
0766183733/0782270412
 
Bravo kamanda! Suali langu kwako pindipi kama ikitokea huyo the incumbent MP kafariki mwaka huu 2016. Jee hutoshiriki uchaguzi au wewe ni wa 2020 tu!
 
Bravo Kamanda nipo hapa Ngudu leo, nimeambiwa Jimbo la Kwimba linaongozwa na Sunche
 
Leo tarehe 08/02/2016 nimetanganza Rasmi kugombea ubunge jimbo la kwimba 2020 kupitia tiket ya Chadema.

Hakika patachimbika 2020,let the Philosophers be the kings and the kings be philosopher.

Wilbert Mandago
K/tibu CDM (W) Kwimba
Diwani Kata M,halanga-Kwimba
Graduate at SAUT 2013 Bphiled
Now taking Second Degree HRM
0766183733/0782270412
Hadi sasa hivi umewasaidia vipi watu wa kwimba,tuanzie hapo kwanza.Siyo kutoa vitisho vya kizayuni tu.
 
Ule ujinga wa kugombana cdm na cuf muuache! Pili kuna mkabila mmoja anaitwa mchungaji amos kyuga mrudishen kundin na darasa la kutosha! Yule ndo alisababisha mansur akashinda kilain
 
harafu huyo mkandarasi anayetengezeza barabara ya Ngundu mpaka Mabuki mbona anajaza tu tope barabarani na nyie wana Ngudu mnachekelea tu, au ndo huyo Mbunge wenu kachukua tenda ya ukarabati wa barabara hiyo, naona kama mnaibiwa kabisa Wananchi wa Kwimba
 
Back
Top Bottom