Ubishi wa Mawaziri juu ya nani kawakomoa zaidi watanzania

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Mramba:
Mimi ndo kiboko ya watanzania, yani nilinunua ndege mbovu na rada mbovu kwa bei za juu na waliponiuliza nikawaambia kuleni nyasi.

Ngereja:
Aaa wewe Mramba kweli kichekesho, yani watu wanataka kuwinda wewe unawatajia nyani!!! mi ndo kiboko niliwalaza watanzania miezi mitatu gizani wakati mi mwenyewe nina Genereta 3 na Solar panel 9

Kawambwa:
Mi ndo kiboko yenu, nimevunja rekodi hadi ile ya Mungai ya kuvuta history na mitaala mingine, yani nimetoa kubwa kuliko, yani zaidi ya asilimia 60 ya form 4 wamepiga one ya 7 with "F" flat

Magufuli:
Mi sisemi chochote manake mtasema 'Mr misifa' waulizeni wakazi wa kigamboni watawasimulia

JK:
Mshukuru mimi siyo waziri manake ningesema ya kwangu ya kwenu yote yangegeuka "Baraka"
 
ama kweli majanga
 
White Air:
Ninyi nyote naona mnatishiana ukamf wakati mi mwenyewe nimezaliwa jangwani. Nilipata kuanzisha Kampuni ya Richmond ndani ya masaa 24 kwa kumingiza choo cha kike mkuu wenu wa nchi na wananch wote, mpaka leo wananiamini mimi kuliko hata mkuu wao wanchi.

Malima:
Dadadadeki, mi naona wote mnajaribu kuona ka historia zenu kama bado zinakumbukwa na wananch. Mi walinitishia kujamba nikawaharishia kibisa, nimefanya nchi imeingia kwenye Kitabu cha kumbukumbu ya Dunia, nimepata kuwapandisha TWIGA ndege na kuwasafirisha ughaibuni tena kwa raha mustarehe kuliko hata abiria aliyekata ticket. Kunguta risasi FARU wote mpaka wakihisi harufu yangu wanajifisha.

Mtoto wa mkulima:
Yani ninyi nyote mbwembe tu bila ya mimi kuwa naliaga bungeni si dhani hata mmoja wenu hapa angekua anatamba vivyo. Maana mabaraza yangevunjwa kili kukicha.
 
Philipo Mulugo.
Nyie nyote cha mtoto. amai nilipokwenda South Africa nilitengua Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili kuwaridhisha Wazanzibari, nikaziunganisha Tanganyika na Zimbabwe. Sasa hivi nikienda Zanzibar wanalilia niwe rais ili niwape uhuru kamili.
 
Back
Top Bottom