Ubakaji ndani ya ndoa!

Dick

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
477
8
Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka mmoja au vyote.

Wana JF, hivi ndo ikoje? naomba nielimishwa jamani.:A S-danger:
 
Mbona mimi hii haingii akilini...! Mtu humbakaje mpenzi wake? Hii ni kuingilia mambo ya watu hadi vyumbani vyao...! Ikiruhusiwa itafika kipindi watasema hadi na idadi ya rounds kwa siku.
 
Kwa hiyo akitoka nje kutiw* akakuambia leo sitaki na ukimlazimisha umembaka:becky::becky::confused2:
 
Kwanza inavyoelekea zoezi zima linaviashiria vya ubakaji. kwahiyo wanataka kabla ya yote mfanye kikao cha makubaliano, muandikishiane, shahidi awepo au ni vipi?

Wamekosa miswaada hao, Itabidi basi kila mwenye mke afunge camera maalum ili kupata ushahidi wife ikienda kujaribu kukuzulia kesi... mali yako masharti kibao......ukiolewa kubali yote, au kama vipi baki kwenu vinginevyo mahari mtarudisha.:boxing:
 
"Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka mmoja au vyote."

Hapo kwenye red itakuwa ngumu sana kuthibitisha, manake mimi kama mwanaume ntajitetea kwamba wife alitoa consent tena ndiye aliyeomba game sema tu tumegombana baada ya game ndo maana kanichenjia
 
Kwanza inavyoelekea zoezi zima linaviashiria vya ubakaji. kwahiyo wanataka kabla ya yote mfanye kikao cha makubaliano, muandikishiane, shahidi awepo au ni vipi?

Wamekosa miswaada hao, Itabidi basi kila mwenye mke afunge camera maalum ili kupata ushahidi wife ikienda kujaribu kukuzulia kesi... mali yako masharti kibao......ukiolewa kubali yote, au kama vipi baki kwenu vinginevyo mahari mtarudisha.:boxing:

Haya yote najua wanaanziaha wake zetu, lakina hata hili wakipewa bado litawashinda...! Na nikimchunia itakuwaje?
 
Hii italeta matatizo katika familia zetu. Wanaume sasa wataanza mtindo wa kutoka nje ya ndoa kwa sana kama mke akiwa mbishi wa kuachia mzigo.
 
kwa hiyo mnaona mwanamke kulazimishwa kufanya tendo ni haki?

kama kutumia nguvu kumuingilia mwanamke ni kosa, basi kosa linaendelea kuwepo hata kama mwanamke huyo ni mkeo.
 
:mad2: Hainiingii akilini? ni sababu gani atanipa kuwa leo haitataji game! kama anaumwa sawa! lakini kama ni mzima kabisa sioni maana hapa! ndoa imewekwa ili mfurahie hiyo maneno na bila kunyimana na Imeandikwa kwa wale Wakristo MSINYIMANE!..sasa haina sababu ya kuleteana mapozi ktk hilo Mapozi ni kwa Boyfriends na Girlfriends na si kwenye ndoa bana:frusty:
 
kwa hiyo mnaona mwanamke kulazimishwa kufanya tendo ni haki?

kama kutumia nguvu kumuingilia mwanamke ni kosa, basi kosa linaendelea kuwepo hata kama mwanamke huyo ni mkeo.

Wanawake wengi sana walioko kwenye Ndoa huwa wanabakwa kila siku! Tendo la ndoa linalokubaliwa kisheria ni lile lililoridhiwa pande zote mbili....lakini endapo wife wako atakuomba siku hiyo umu-excuse af wewe ukatumia mabavu yako kula tunda hiyo ni UbakaJi tayari.
Lakini ugumu unakuja kwenye kuthibitisha kama kweli kosa lilitendwa.............Kwa hiyo siku mkeo akiwa na ametoka kufanya mambo ya kikubwa na jamaa mwingine af wewe akakubania ...then inatakiwa upige kimya tu usubirie siku ambayo atapenda yeye.

Kimsingi ni ngumu kuthibitisha kosa .....labda wife awe amekupania ....afunge micro-cameras au CCTV system chumbani
 
Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka mmoja au vyote.

Wana JF, hivi ndo ikoje? naomba nielimishwa jamani.:A S-danger:
Hapo nina mashaka na mambo mengi ambayo nadhani hayajakaa sawa. Je, ili wanandoa wafanye tendo la ndoa ambalo si ubakaji watawezaje kupeana uthibitisho kwamba wamekubaliana na si vinginevyo? Na kama mwanaume ataishi naye bila kumwomba mke wake tendo la ndoa itakuwaje? Katika kuishi pamoja kama mke na mume moja ya mambo ya kufanya ni pamoja na hayo na hiyo ina ridhaa ya jumla katika makubaliano ya kuoana, sijui kama kubaka katika ndoa itakaaje(kwa maana ya ushahidi wa ubakaji)
 
Ubakaji ndani ya ndoa ni mkubwa kuliko nje ya ndoa. Hii inatokana na dhana ya msinyimane... Ushahidi wake ni rahisi maana wanawake wakibana wanaume huwa wanakuwa wakali kwa maneno (matusi) au kwa vitendo (kupiga)
 
Kwa maoni yangu hiyo sheria ni nzuri kutokana na tabia ya wabongo kupenda wowo. Ni bora wangeipenda tu ila chakushangaza wanaipenda kupita kiasi kiasi kwamba wanataka kuwafanyizia wakewe tendo la ndoa kinyume na maumbile, kisi kwamba wakinamama wengi wameshaharibiwa rectum. Hao naona WASHITAKI WAUME ZAO MAANA WANAUSHAHIDI TOSHA.
 
kubaka/kubakwa ni mojawapo ya malavidavi-fantasy!

you must know kama mumeo/mkeo ndio ugonjwa wake...
ni mojawapo ya vijimambo unavyovitekeleza hata kama hupendi...
kama unaona hutavivumilia usioe/olewe naye period....

uliolewa ili iweje kama hutaki kubakwa sometimes????
:becky::becky::becky::becky:

mie siwezi kumpeleka mume wangu mbele ya sheria kama kanibaka...
ni aibu kwanza,
pili kwenye ndoa hatubakani ni tunatekeleza wajibu tu:glasses-nerdy:

walahi unless kama umemchoka ndio utampeleka mbele ya sheria,
which will be long and hard process to prove!

na kama umefikia kuweka macamera kumrecord mtu anavyokubaka...
kubali yaishe ndoa yako is long time dead!LOL...pole:becky::becky:
 
kubaka/kubakwa ni mojawapo ya malavidavi-fantasy!

kwenye ndoa hatubakani ni tunatekeleza wajibu tu:

Afadhali Roselyne umesema, wangesema wengine ingekuwa kelele, Kwenye ndoa hakuna kubaka/kubakwa, hapo ni kubakana tu, akikubaka na wewe unambaka basi maisha yanaendelea. "joke"
 
kubaka/kubakwa ni mojawapo ya malavidavi-fantasy!

you must know kama mumeo/mkeo ndio ugonjwa wake...
ni mojawapo ya vijimambo unavyovitekeleza hata kama hupendi...
kama unaona hutavivumilia usioe/olewe naye period....

uliolewa ili iweje kama hutaki kubakwa sometimes????
:becky::becky::becky::becky:

mie siwezi kumpeleka mume wangu mbele ya sheria kama kanibaka...
ni aibu kwanza,
pili kwenye ndoa hatubakani ni tunatekeleza wajibu tu:glasses-nerdy:

walahi unless kama umemchoka ndio utampeleka mbele ya sheria,
which will be long and hard process to prove!

na kama umefikia kuweka macamera kumrecord mtu anavyokubaka...
kubali yaishe ndoa yako is long time dead!LOL...pole:becky::becky:

mwe we roselyne wewe!!:A S 8::A S 8::A S 8::A S 8::A S 8::A S 8:
 
Da hii kitu itakuwa ngumu kuitekeleza kule kwetu, kwanza unaweza kumzozea demu na akakukubalia na mkaenda mpaka kichakani kabisaa~kasheshe sasa ni kukupa ile kitu, yaani mpaka upinge ngwara, sasa sijui nao ni ubakaji huo!. He he he.....
 
Back
Top Bottom