Uandikishaji Wapiga Kura na Tatizo la Kukosa Ubunifu - Upeo Unaposhia Ufukweni...

Inasikitisha sana kwamba watu wengi watakosa haki yao ya kuandikishwa na kupiga kura na hii ndiyo dhumuni la ccm
 
Ni kujipanga vizuri inawezekana. Taratibu hizi mbili ni tofauti. Vitambalisho vinahatua zaidi ya tatu, kuandikisha, kuwasilisha nyaraka, kuhakiki nyaraka n.k. Lakini daftari la wapiga kura ni hatua moja tu. unaandikishwa unapata shahada hapohapo.
 
Katiba ya Walioba ililiona hilo, lakini kwa vile watwala wnataka kuendelea kutawala hadi milele walilipinga katika Rasimu yao pendekezwi....

Naomba mnisaidie hapa....;
1. Kwamba zoezi hili limeanzia Makambako / Njombe ni majaribio?
2. Uwezo sahihi wa Mashine ni kusajili watu kiasi gani kwa siku?
3. Tume inasajili watu wangapi kwa siku?
4. Nini idadi kamili ya Watanzania wote wenye sifa ya kuandikishwa kupiga kura Nchi Nzima?
5. Je, Majibu ya swali la 2 na 3 yanakidhi swali la nne kwa muda uliobaki hadi tarehe 30 April 2015?
 
Nje ya mada, kijarida cha Cheche kinahitajika mapema mwaka huu tunapoelekea miezi ya kukurukakara za uchaguzi.


Of course; it is coming soon and more; I'm not as excited like 2010 though... ni kama tunajiandaa kuvunjwa mioyo...
 
Back
Top Bottom