Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Bei ya korosho iliyobanguliwa katika Soko la Dunia imeongezeka kwa asilimia 10% kwa Mwezi Novemba 2018 hadi kufikia $3.8 kwa paundi.
Kulingana na Kampuni ya Kiingereza ya Freeworld Trading, limedai kuwa, chanzo cha ongezeko hilo ni hatua ya Rais Dk. John Pombe Magufuli kuingilia kati bei ya korosho kwa kuamua kuinunua korosho badala ya Wafanyabiashara.
Naona Dunia itatuelewa sasa, hapa Tanzania inachotaka ni win-win situation. So najua watatuelewa tu though wakati mwingine kwa gharama kubwa.