Uamsho Zanzibar na kiama cha makanisa ya kikristu visiwani

RC.

JF-Expert Member
May 24, 2012
444
41
Ndugu zangu numesikitishwa sana na taarifa za hivi punde ITV kuwa watu hao wamechoma kanisa la kikristo la TAG(Tanzania Assembly Of God)sasa najiuliza wakristo wamewakosea nini?. kwani uamsho huo si ni juu ya muungano?sasa imekuaje wakristo wachomewe makanisa? nawasilisha.
 
Tengeneza heading yako vizuri afu uje tena!
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Wakristo wamechoma wenyewe kanisa kama mbinu ya kuzuia watu wasiujadili Muungano.
 
Back
Top Bottom