u wapi umuhimu wa wanawake kuvaa chupi?

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
kwa kawaida wanaume huvaa chupi au boxa na skin tyt kwa ajil ya kubana nyeti zisichezecheze au kupwaya na kumletea tabu atembeapo ama kukimbia na kurukaruka kama vile kina ladies wavaapo sidiria kubana maziwa yao. swali? chupi kwa kina dada za nini?
 
unafahamu kuwa hawa wenzetu huwa na kawaida ya kubadili oil kila mwezi? mbaya zaidi anaweza kubadili ghafla hata wakati ambao haukuwa ktk ratiba.
 
Alicho kisema NEVER GV UP ni ukweli kabisa, kwani wao mvua wanayonyesha haina masika wa kiangazi, bt wakati wowote mawingu na mvua hapo hapo. Upande mwingine wa swali iweje wengine wavae bikini wakati muda wowote wanaweza kunyesha, na mpaka hapo umuhimu wa chupi kwao bado sijaona sababu za msingi.
 
unafahamu kuwa hawa wenzetu huwa na kawaida ya kubadili oil kila mwezi? mbaya zaidi anaweza kubadili ghafla hata wakati ambao haukuwa ktk ratiba.
sa chupi inasaidia nini ktk hili?? coz hata wakati wa hicho kitendo wao huvaa pedi ndo zanawasaidia
chupi pekee haitoshi
 
tunavaa ili kubana ****** yasitingishike sana na hata ukivaa nguo isiangaze mtu ukaona ndani mojamoja jaman!hii ni sehemu ya siri kwahyo unatakiwa kuificha sana mtu mwingine ashindwe kuona hta kuhisi ramani yake imekaaje!
 
Wapi kongosho,madame B,mamdenyi na wengineo, njooni kuna mada huku!
 
mi naonaaa kunaa umuhimu wa wadada kuvyaa chupii,maana wakitembeaa uchii uchii bila chupi,kunaa bakteria wengii sn njiani nivizuri kuvyaa chupii
 
tunavaa ili kubana ****** yasitingishike sana na hata ukivaa nguo isiangaze mtu ukaona ndani mojamoja jaman!hii ni sehemu ya siri kwahyo unatakiwa kuificha sana mtu mwingine ashindwe kuona hta kuhisi ramani yake imekaaje!
hapo kwenye red sikubalian na wewe,,,hasa wa zama za sasa,wanawake maungo yenu hayana siri kabisaaaaaaa,,,,,,,,tena thaman imeshuka kama shilingi yetu
 
Jf bwana, huyu naye cjui alikuwa wapi akiwaza, mpaka akaingiwa na hili wazo na kuamua kuuweka huu uzi...., aiseee!
 
Mseseve wesukwa kabisa,kiki uvefikirya mpaka kwa andika kindo sha chii mmeku akwa eeeh? Habari sa iteitei,ure mshiki nao nanga umvese fo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom