jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Obama ame unveil a new plan ambapo defense spending itakuwa reduced kiasi kwamba hawatoweza kupigana ground wars mbili at the same time...
Anasema defense bado inaliaffect taifa la marekani, na kwamba budget yao ya defense ni kubwa zaidi ya zile za nchi 10 kubwa duniani combined...
Anasema defense bado inaliaffect taifa la marekani, na kwamba budget yao ya defense ni kubwa zaidi ya zile za nchi 10 kubwa duniani combined...