U-Marioo (kulelewa) ni kipaji!

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,567
32,221
1. Wale vijana msingi kiuno. Kiukweli mna kipaji cha kuvumilia masimango, kejeli za Hawa mashangazi.

2. Enzi zangu niliwahi kuwapelekea moto mashangazi Kwa idadi yanafika Saba (Kwa wakati tofauti) sikudumu nao. Nilizua varangati nikasepa.

3. Nimeoa Sasa, nimebaki kuwa mshauri mwelekezi (retired general)

don_thickiswa__20201215_054939_0.jpg
 
1. Wale vijana msingi kiuno. Kiukweli mna kipaji cha kuvumilia masimango, kejeli za Hawa mashangazi.

2. Enzi zangu niliwahi kuwapelekea moto mashangazi Kwa idadi yanafika Saba (Kwa wakati tofauti) sikudumu nao. Nilizua varangati nikasepa.

3. Nimeoa Sasa, nimebaki kuwa mshauri mwelekezi (retired general)

View attachment 2860578
Sifa za Marioo Lazima awe kijana asiejielewa (kajizima data) kugombezwa kwake sio issue ya kumuumiza.
Cc. Whozu,
Roni 3d, moze iyobo, stiv Ake.
 
Ukishampeleka huko akafanye dialysis masaa manne , we unarudi kitaa kuzurura na gari yake 😂😂 kuwavimbia wahuni !! utampitia saa nane mchana kachoka!!
 
Haipedezi / Hainogi mwanamke kumzidi mwanaume
Hakuna shida mwanaume kuzidiwa kipato muhimu tu asiwe tegemezi kwa mwanamke. Wanawake mnataka wanaume waliowazidi kwa sababu moja ya matarajio yenu kwenye mahusiano ni kubebwa kiuchumi sasa pale unampozidi mwanaume maana yake ilo halitawezekana, utaanzaje kumuomba hela/msaada mtu uliemzidi kipato?
 
Mimi nilimpata mmoja akaniacha, kosa langu ni kukataa kuishi nyumbani kwake na mimi sijazoea kuishi kwa watu, tokea na zaliwa niliishi na wazazi wangu pomoja na sijawahi kuishi kwa watu zaidi ya kuishi nilipo panga mimi au ghetto na masela, sasa aliniambia nichukue nguo zangu nikaishi kwake'' Yani nilishindwa nikawa sina Amani moyoni na furaha na tu uhuru niliona nipo jela, sasa alivyoona nina ghetto langu tu na vitu vyangu havipo kwake akahisi ghetto langu naingia wanawake, na kwake nikawa siendi na mahusiano ya kafa, Ushauri kwa vijana kuishi kwa mwanamke siyo zuri, Jamii ndugu na majirani marafiki wana kudharau sana.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hamletagi mrejesho wa maradhi gono, kaswende na kubwa kuliko kiungo wa simba fabrice..........!
 
Back
Top Bottom