TZ yapewa tende na Saudi Arabia

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
687
Serikali ya watu wa Saudi Arabia imeipatia serikali ya TZ msaada wa Tende ikiwa ni sehemu ya kukuza urafiki wa jamuhuri hizi mbili.

Source Channel Ten news saa moja jioni.

My take: kulikuwa na tuhuma kwenye Wilileaks kuwa Mkuu wa kaya alipewa zawadi ya suti na Al Bawady wa Kempinsky mara wakapewa eneo serengeti la kujenga Bilila Lodge. Sasa hizi tende sijui wanalipia nini walichopewa na TZ? Maana siku hizi vya bure vina gharama zaidi.
 
Hii wametupatia ili tusiwadai kodi kwenye Bilila Lodge yao, tanzania ni nchi amani rais wetu wampatie tena suti zitakuwa zimechakaa zile ndo urafiki huo.
 
Serikali ya watu wa Saudi Arabia imeipatia serikali ya TZ msaada wa Tende ikiwa ni sehemu ya kukuza urafiki wa jamuhuri hizi mbili.

Source Channel Ten news saa moja jioni.

My take: kulikuwa na tuhuma kwenye Wilileaks kuwa Mkuu wa kaya alipewa zawadi ya suti na Al Bawady wa Kempinsky mara wakapewa eneo serengeti la kujenga Bilila Lodge. Sasa hizi tende sijui wanalipia nini walichopewa na TZ? Maana siku hizi vya bure vina gharama zaidi.
Kwani wewe hujui kuwa JK kaisilimisha nchi yetu?!! Tanzania sasa hivi inahesabiwa kama TAIFA LA KIISLAM NDIO MAANA INAPATIWA TENDE. Hauijui connection kati ya tende na uislam?
 
Atajua wapi huyo! Anajua tu uhusiano wa mbege, kitimoto na ukristo!
 
Serikali ya watu wa Saudi Arabia imeipatia serikali ya TZ msaada wa Tende ikiwa ni sehemu ya kukuza urafiki wa jamuhuri hizi mbili.

Source Channel Ten news saa moja jioni.

My take: kulikuwa na tuhuma kwenye Wilileaks kuwa Mkuu wa kaya alipewa zawadi ya suti na Al Bawady wa Kempinsky mara wakapewa eneo serengeti la kujenga Bilila Lodge. Sasa hizi tende sijui wanalipia nini walichopewa na TZ? Maana siku hizi vya bure vina gharama zaidi.

Mbona umechanganya mambo? Al bawady na tende wanahusiana nini, waliotoa tende wa Saudi al bawady wa emirate!

Tende ni "symbol" ya urafiki kwa mwaarabu, anakupa tende kuonesha kuwa anakuthamini na anathamini urafiki wako nae. Mwaarabu hampi tende asiye mthamini. Tende kwa miaka, vizazi na vizazi, toka nchi za kiarabu hazijawa na utajiri wa mafuta hicho ndio chakula chao, tunda lao na tende na mtende huwa na thamani kubwa sana kwao.

Ahsante Saudi Arabia kwa hii symbol ya urafiki.
 
Kwani wewe hujui kuwa JK kaisilimisha nchi yetu?!! Tanzania sasa hivi inahesabiwa kama TAIFA LA KIISLAM NDIO MAANA INAPATIWA TENDE. Hauijui connection kati ya tende na uislam?

Dahh, yaani katika watu ambao hawana maana wewe ni wa kwanza. Basi US imesilimishwa kwanza kabla yetu kwani wao walipewa tende na mitende kutoka Saudi Arabia kwenda kuifanyia utafiti na sasa huko US wanalima tende zenye kiwango cha juu.
 
Mbona umechanganya mambo? Al bawady na tende wanahusiana nini, waliotoa tende wa Saudi al bawady wa emirate!

Tende ni "symbol" ya urafiki kwa mwaarabu, anakupa tende kuonesha kuwa anakuthamini na anathamini urafiki wako nae. Mwaarabu hampi tende asiye mthamini. Tende kwa miaka, vizazi na vizazi, toka nchi za kiarabu hazijawa na utajiri wa mafuta hicho ndio chakula chao, tunda lao na tende na mtende huwa na thamani kubwa sana kwao.

Ahsante Saudi Arabia kwa hii symbol ya urafiki.
King xvi, ile degree ya madrassa ulishaimaliza?
 
Dahh, yaani katika watu ambao hawana maana wewe ni wa kwanza. Basi US imesilimishwa kwanza kabla yetu kwani wao walichukuwa tende na mitende na kwenda kuifanyia utafiti na sasa wanalima tende zenye kiwango cha juu.
King xvi, mimi bado nasomea shahada ya madrassa ndio maana sijui kitu!
 
Kwani wewe hujui kuwa JK kaisilimisha nchi yetu?!! Tanzania sasa hivi inahesabiwa kama TAIFA LA KIISLAM NDIO MAANA INAPATIWA TENDE. Hauijui connection kati ya tende na uislam?
Nasikia pia kuna ndizi zinatoka ISRAEL NA MATANGO yanatoka ROMA-ITARY,vp hii pia itakua JK kaibatiza?????????
Acha ujinga wewe!
 
Kwani wewe hujui kuwa JK kaisilimisha nchi yetu?!! Tanzania sasa hivi inahesabiwa kama TAIFA LA KIISLAM NDIO MAANA INAPATIWA TENDE. Hauijui connection kati ya tende na uislam?

Ngoja nikuulize jambo moja...ni kweli ww ni mgeni humu jamvini (kwa kulingana join date yako )au ni mwenyeji ila kwa kujua unataka ku-post ujinga ndo ukaamua kubadilisha ID?! Kama wewe ni mgeni, basi ni mtu unayestahili kutokea mlango uliongilia humu JF kwa maana utakuwa ni mtu hatari sana ndani ya jamvi hili! Lau kama ni mwenyeji, basi kioneee aibu kitendo chako cha kuendekeza udini hata pasipostahili kwani huko kubadilisha ID tu kunadhihirisha wazi kwamba unajua unachofanya ni kinyaa mbele ya jamii ya kistaraabu! Achana na udini ndugu, hakuna mwanadamu atakayeuona ufalme wa mungu kwa sababu tu alikuwa mbaguzi.....!! Katu, ubaguzi ama udini haujapata na wala hautakuja kuwa sifa ya muumini wa kweli unless awe ni muumini wa dini ya shetani!
 
Ukitaka tende chukuwa lakini magulu panuwa!........
Huo ni msaada kwenda Bakwata na Shura ya maimamu, hakuna mtu makini anayeweza kuintatain vitu vya kijinga kama hivi, ningeomba alieleta thread hii afanye editing haraka sana na aondoe neno kwamba Tanzania tumepewa msaada wa tende na Saudi Arabia!!
 
Sioni uhusiano wa tende na uislam.Tatizo watu wanafikiria kila kitu ni udini, hii imesababishwa na CCM yenyewe
 
Back
Top Bottom