Type of Men/Husbands And Their Characters

Nasali nipate mwanaume mwenye msimamo na pendo lake, aweze kusimama imara na kutetea pendo lake hata kama unatokea mtihani mkubwa wa aina gani katika penzi, mwenye uelewa na huruma juu ya hisia za mwenza wake, hizo characters nyingine zaweza kuwa imaginary, in reality sifa zingine zinakuwa za kufikirika tu(appearance, wealth etc). Siku zote mwenye upendo ni mvumilivu, hana majivuno, ni mkarimu, anaushirikiano, ana adabu na anaheshimu hisia za mwenzake. Oh God, I think I have a long way to go.........!!May Allah help me, amen!
 
umenipata wa ukweli mwenzio.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom