Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,233
- 8,779
upumbavu mwingine unatia kinyaa.... halafu yanachekelea utafikiri wanachofanya ni kiziru...
si ndio maendeleo na uhuru huo ulioletwa na dini tunayoambiwa ina upendo sasa mnalalamika kitu gani?????
hatujaambiwa walikuwa kanisa lipi ????