Twitter vs facebook

Wewe facebook ni chama lingine,haifananishwi..labda mpinzani wake atakuja baadae,kwanini basi? facebook ni open source project,inaruhusu software developer yeyote kuchangia kuijenga hivyo basi ,kila siku inakuja na features mpya .Ni zaidi ya social network,ni darasa kwa wanafunzi pia.
 
One can do many things in facebook than in twitter, ndio maana kuna hata facebook addicts. Facebook kiboko, mimi niko kote lakini facebook ni balaa and user friendly, kisha kuna friends wengi sana. Thats mu opinion.
 
Kuwa addicted ni mapenzi ya mtu, kuna JF addict wengi tu humu....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom