Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

Taarifa kuhusu twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii wakihusishwa na twiga wa hapa tanzania

LOLIONDO HAINA SPECIES ZA TWIGA WEUPE:

Picha zinazo sambazwa kwenye mitandao kwa kukihusisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusiana na usafirishaji wa Twiga kwa kutumia ndege si za kweli na zinatengenezwa kama propaganda za kisiasa. Kwa bahati mbaya Tanzania ina jamii (species) ya Twiga weupe kwa kiwango kidogo mno ambapo waligunduliwa mwaka 1993 katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Kwa mara ya mwisho utafiti uliofanywa na Wildlife Conservation Society (WCS) mwaka 2005 wakati wa Aerial Count Survey ya Tembo katika Hifadhi ya Tarangile aliweza kuonekanika Twiga mweupe mmoja. Kwa mujibu wa maelezo yanayotolewa kwenye picha husika yanaonyesha picha ya Twiga Mweupe aliye kamatwa eneo la Loliondo ambapo kuna mwekezaji wa Ortello Business Company kitu ambacho si kweli kabisa kwani eneo hilo lina Twiga Weusi (Giraffa camelopardus) peke yake.

Huo ni udhushi na uongo mkubwa sana upuuzwe, eneo hilo halina kabisa Twiga wa aina hiyo.

Race ya twiga wa rangi hiyo ya kwenye picha siyo maasai giraffe (Giraffa Camelopardalus massaicus), bali huyo yupo maeneo ya kusini mwa Afrika, kadiri unavyokuja upande wa kaskazini kuelekea Egypt rangi inazidi kuwa "pale" yaani inafifia kwani unaelekea kuliko na high intensity of sunlight energy. So huo ni uzushi mkubwa sana unaofanywa na wanywa viroba wa UKAWA.

FOOD FOR THOUGHTS KWA UKAWA:

Tunaweza jiuliza mbona tangu twiga wanasafirishwa hiyo miaka ya nyuma hizo picha hazikutolewa? Hiyo ndege ni ya shirika gani? Lakn kumbukeni pia ipo biashara ya wanyama hai (live wild animals business) katika kundi hilo Twiga hayumo, na pia mjue rais anaweza kumtoa kama zawadi kwa rafiki au kiongozi yeyote nje ya nchi! Someni sheria ya kuhifadhi wanyamapori Na. 5 ya mwaka 2009. Ila si walaumu maana wengine mmeshajipofua hamuwezi kuuona ukweli na hamtaki kuujua kabisa aka wapumbavu (Please take note sasa ni wakati wa siasa vijembe ruksa).

Tutumie hizo za kwako za ukweli !!
 
Hizi picha sio za Tanzania acheni uzushi

Mtahangaika sana, kama siyo Tanzania tuwekee za Tanzania basi.
Twiga wa Tanzania wanapanda ndege kila siku tembo wanauawa kila saa hata Magufuli anashangaa nani anawasafirisha.

CCM ni ileeeileeeeee!!
 
Wamasai wapo limpopo???
 
Attachments

  • 1443590341586.jpg
    1443590341586.jpg
    64.8 KB · Views: 255
Taarifa kuhusu twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii wakihusishwa na twiga wa hapa tanzania

LOLIONDO HAINA SPECIES ZA TWIGA WEUPE:

Picha zinazo sambazwa kwenye mitandao kwa kukihusisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusiana na usafirishaji wa Twiga kwa kutumia ndege si za kweli na zinatengenezwa kama propaganda za kisiasa. Kwa bahati mbaya Tanzania ina jamii (species) ya Twiga weupe kwa kiwango kidogo mno ambapo waligunduliwa mwaka 1993 katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Kwa mara ya mwisho utafiti uliofanywa na Wildlife Conservation Society (WCS) mwaka 2005 wakati wa Aerial Count Survey ya Tembo katika Hifadhi ya Tarangile aliweza kuonekanika Twiga mweupe mmoja. Kwa mujibu wa maelezo yanayotolewa kwenye picha husika yanaonyesha picha ya Twiga Mweupe aliye kamatwa eneo la Loliondo ambapo kuna mwekezaji wa Ortello Business Company kitu ambacho si kweli kabisa kwani eneo hilo lina Twiga Weusi (Giraffa camelopardus) peke yake.

Huo ni udhushi na uongo mkubwa sana upuuzwe, eneo hilo halina kabisa Twiga wa aina hiyo.

Race ya twiga wa rangi hiyo ya kwenye picha siyo maasai giraffe (Giraffa Camelopardalus massaicus), bali huyo yupo maeneo ya kusini mwa Afrika, kadiri unavyokuja upande wa kaskazini kuelekea Egypt rangi inazidi kuwa "pale" yaani inafifia kwani unaelekea kuliko na high intensity of sunlight energy. So huo ni uzushi mkubwa sana unaofanywa na wanywa viroba wa UKAWA.

FOOD FOR THOUGHTS KWA UKAWA:

Tunaweza jiuliza mbona tangu twiga wanasafirishwa hiyo miaka ya nyuma hizo picha hazikutolewa? Hiyo ndege ni ya shirika gani? Lakn kumbukeni pia ipo biashara ya wanyama hai (live wild animals business) katika kundi hilo Twiga hayumo, na pia mjue rais anaweza kumtoa kama zawadi kwa rafiki au kiongozi yeyote nje ya nchi! Someni sheria ya kuhifadhi wanyamapori Na. 5 ya mwaka 2009. Ila si walaumu maana wengine mmeshajipofua hamuwezi kuuona ukweli na hamtaki kuujua kabisa aka wapumbavu (Please take note sasa ni wakati wa siasa vijembe ruksa).

Ukweli ni kuwa twiga wetu walisafirishwa haijalishi ni wa kijani au kijivu..
 
Hii habari nikisoma napata ukakasi sana mara madoa meusi ooh madoa meupe kama mliweza kuwatorosha wenye madoa meusi mtashindwaje wenye madoa meupe sasa, ila mwishowenu waja.
 
Jamani hivi ndiyo Wanyama hai wanavyoibiwa na Nchi za magharibi na kuacha viongozi wetu chama na serikali na wakishangaa na wao.
 
Attachments

  • 1443590576748.jpg
    1443590576748.jpg
    32.1 KB · Views: 232
  • 1443590622549.jpg
    1443590622549.jpg
    25 KB · Views: 245
  • 1443590648947.jpg
    1443590648947.jpg
    91.4 KB · Views: 237
  • 1443590691406.jpg
    1443590691406.jpg
    26.1 KB · Views: 219
Taarifa kuhusu twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii wakihusishwa na twiga wa hapa tanzania

LOLIONDO HAINA SPECIES ZA TWIGA WEUPE:

Picha zinazo sambazwa kwenye mitandao kwa kukihusisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusiana na usafirishaji wa Twiga kwa kutumia ndege si za kweli na zinatengenezwa kama propaganda za kisiasa. Kwa bahati mbaya Tanzania ina jamii (species) ya Twiga weupe kwa kiwango kidogo mno ambapo waligunduliwa mwaka 1993 katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Kwa mara ya mwisho utafiti uliofanywa na Wildlife Conservation Society (WCS) mwaka 2005 wakati wa Aerial Count Survey ya Tembo katika Hifadhi ya Tarangile aliweza kuonekanika Twiga mweupe mmoja. Kwa mujibu wa maelezo yanayotolewa kwenye picha husika yanaonyesha picha ya Twiga Mweupe aliye kamatwa eneo la Loliondo ambapo kuna mwekezaji wa Ortello Business Company kitu ambacho si kweli kabisa kwani eneo hilo lina Twiga Weusi (Giraffa camelopardus) peke yake.

Huo ni udhushi na uongo mkubwa sana upuuzwe, eneo hilo halina kabisa Twiga wa aina hiyo.

Race ya twiga wa rangi hiyo ya kwenye picha siyo maasai giraffe (Giraffa Camelopardalus massaicus), bali huyo yupo maeneo ya kusini mwa Afrika, kadiri unavyokuja upande wa kaskazini kuelekea Egypt rangi inazidi kuwa "pale" yaani inafifia kwani unaelekea kuliko na high intensity of sunlight energy. So huo ni uzushi mkubwa sana unaofanywa na wanywa viroba wa UKAWA.

FOOD FOR THOUGHTS KWA UKAWA:

Tunaweza jiuliza mbona tangu twiga wanasafirishwa hiyo miaka ya nyuma hizo picha hazikutolewa? Hiyo ndege ni ya shirika gani? Lakn kumbukeni pia ipo biashara ya wanyama hai (live wild animals business) katika kundi hilo Twiga hayumo, na pia mjue rais anaweza kumtoa kama zawadi kwa rafiki au kiongozi yeyote nje ya nchi! Someni sheria ya kuhifadhi wanyamapori Na. 5 ya mwaka 2009. Ila si walaumu maana wengine mmeshajipofua hamuwezi kuuona ukweli na hamtaki kuujua kabisa aka wapumbavu (Please take note sasa ni wakati wa siasa vijembe ruksa).

Hawa UKAWA wanatuchezea sana akili me narudi CCM kila kitu kwao maigizo
 
Mkuu mbona povu linaktukoka,ulishiriki pia nn?
 
The bottom line is Twiga waliuzwa nje ya nchi na serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi na serikali haijasema chochote so far juu ya Twiga hao. Wether Twiga ni weupe, weusi, wa kijani haijalishi
 
Tukiondoa CCM madarakani;
1. Pesa zetu zitakuwa salama
2. Twiga wataongezeka na kuongeza mapato kwenye sekta ya utalii nchini
4. Tembo wataongezeka
5. Tutatokomeza UFISADI ambayo ndo ajenda ya SIRI kwa CCM
CCM mna laana ya Twiga na Tembo.
Go go to HELL chama cha MAGAMBA
 
Baada ya tar 25 viongozi wengi wa ccm itakuwa zamu yenu kukaa lupango, mmetuonea na kutuibia vya kutosha
 
Back
Top Bottom