Tuzo zinazotolewa kwa wasanii ndani na nje ya nchi huwa zinaambatana na zawadi za pesa taslimu? Ni kiasi gani?

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,037
2,778
Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo.

Nataka pia kujua ikiwa msanii atapata tuzo ni namna gani sanaa itakuwa kupitia tuzo hiyo?
 
Asante kwa Bandiko Mkuu.

WAANDAJI WA TUZO WANAKUJA KUKUPA MIONGOZO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wauza unga wanapisha unga kwenye tuzo vijana wa Kinondoni wapate kusonga ugali!!
Mark neno UGALI
 
Back
Top Bottom