Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

acheni mada ya zanzibar na muungano turudi kwenye mada ya mwenda zake nyerere tumjadili kwa marefu
 
Kwa mazingira ya vita baridi iliyokuwepo wakati huo sina lawana na Mchonga
Vita baridi ipi?! Nchi imepewa Uhuru bila kumwaga Damu,unaenda kuungana na kisiwa unapoteza identity Yako ya utanganyika? Mshana Jr,think beyond the box. Ukitaka Ardhi kisiwani hupata ya kununua na kumiliki,unakuwa treated kama investor,wao huku wanajimilikisha!
Mtu wa Zanzibar anakuwa Rais mpaka bara.wewe na Mimi hatuwezi ongoza Zanzibar. ujinga huu wanauelewa CCM tu.
 
Watalii wengi wanakuja Tanzania kwa ajili ya Serengeti, Ngorongoro na Mlima Kilimanjaro na sio kwa ajili ya hicho kijiji cha maghofu yaliyopakwa chokaa
Hivi unajua Kuanzia mwaka jana airport ya Zanzibar ndiyo.inapokea wagenii wengi zaidi kuliko ya Dar?
 
Hajatoa lake moja kichwani mwake yote yametoka kitabu cha kanisa Katoliki. Itakuwa unamsikiliza kwa jaziba au umetumwa
Hapana mkuu sikua na jazba, na kumbuka vitabu huandikwa na binaadamu kama sisi, ‘biasness’ inaweza tokea.

Ila nimeuliza maswali kutokana na hoja zake bado hujanijibu.
 
Hapana mkuu sikua na jazba, na kumbuka vitabu huandikwa na binaadamu kama sisi, ‘biasness’ inaweza tokea.

Ila nimeuliza maswali kutokana na hoja zake bado hujanijibu.
Vitabu vimeandikwa na Padri Peter Smith wa Kanisa Katoliki na Kanisa Katoliki halikutoa kauli yoyote ya kukipinga
Yeye hakutoa hoja yoyote zaidi ya kukisoma mbele ya watu. Usitafute ubishi kuna na Padre mwingine anaitwa Sivallon kaandika zaidi ya hayo
 
Sawa mkuu, nijibu hili basi naona unalikumbia

Lakini kwa hoja hiyo utaelezeaje ujamaa ulioingizwa kwenye nchi zenye waislam wengi? Na zile zenye Wakristo wengi?

Je, huko kwenye Wakristo wengi ‘Kanisa’ lilitaka kumpora nani mali?

Nchi iliyowahi kuwa ya kijamaaIdadi ya Waislam
Algeria 🇩🇿
98%
Misri 🇪🇬
90%
Libya 🇱🇾
97%

Achilia mbali hapo, vipi kuhusu nchi zenye wakristo wengi? Waliweka ujamaa ili kumkomoa nani?

Nchi iliyowahi kuwa ya kijamaaIdadi ya Wakristo
Angola 🇦🇴
95%
Zimbabwe 🇿🇼84%
Zambia 🇿🇲
87%

Tafadhali nipe majibu.”
 
Ukweli hasa wadada wa tanganyika wakija zanzibar yale maumbo yao yanatupagawisha,nisilaumiwe
 
Sawa mkuu, nijibu hili basi naona unalikumbia

Lakini kwa hoja hiyo utaelezeaje ujamaa ulioingizwa kwenye nchi zenye waislam wengi? Na zile zenye Wakristo wengi?

Je, huko kwenye Wakristo wengi ‘Kanisa’ lilitaka kumpora nani mali?

Nchi iliyowahi kuwa ya kijamaaIdadi ya Waislam
Algeria 🇩🇿
98%
Misri 🇪🇬
90%
Libya 🇱🇾
97%

Achilia mbali hapo, vipi kuhusu nchi zenye wakristo wengi? Waliweka ujamaa ili kumkomoa nani?

Nchi iliyowahi kuwa ya kijamaaIdadi ya Wakristo
Angola 🇦🇴
95%
Zimbabwe 🇿🇼84%
Zambia 🇿🇲
87%

Tafadhali nipe majibu.”

Wewe hata ujamaa unaujua ? Ulisoma wapi ?

Ujamaa wa Nyerere aliuita African socialism chanzo chake ni kanisani
 
Kama zuchu kafanikisha maisha humu na wengine wengi ila mie hata kiwanja Cha buku najero walikataa kumpimia body wetu akimiliki ila wao wamejazana dar , Tanga kama Nini wanamajumba na ardhi na kazi nzuri wa kuu tuwaloge tu warudi kwao wote
 
Wewe hata ujamaa unaujua ? Ulisoma wapi ?

Ujamaa wa Nyerere aliuita African socialism chanzo chake ni kanisani
Sawa mkuu twende taratibu. Nina shahada ya Sayansi ya Siasa na Historia toka chuo kikuu cha Dar es Salaam mkuu.

Ujamaa wa nyerere kanuni/misingi yake ni ipi?

(Ninataka twende taratibu kisha tuelewane mkuu, hatukomoani)
 
Mtu haachi kuwa muislam ati kisa umetofautiana nae mtizamo wa kisiasa mkuu.

Mtu huacha kuwa Muislam kwa kumshirikisha Mungu.
Hiyo ni dhana yangu tu kwa unayoyaandika kumwona mshirikishaji wa Mungu kuwa hakufanya makosa kuwadhulumu Waislamu
 
Hiyo ni dhana yangu tu kwa unayoyaandika kumwona mshirikishaji wa Mungu kuwa hakufanya makosa kuwadhulumu Waislamu
Ukiacha madai ha bwana Peter, kuna ‘case studies’ zozote zinazoonesha Waislam walilengwa kufilisiwa kwa sababu ya dini yao?

Na je, hatuna Wakristo ambao hawakufilisiwa mkuu?
 
Hiyo ni dhana yangu tu kwa unayoyaandika kumwona mshirikishaji wa Mungu kuwa hakufanya makosa kuwadhulumu Waislamu
Simtetei Mwalimu, nipo hapa kuhakikisha watu hawatumii ukosefu wa Data kupotosha wengine.

Niamini, niko tayari kubadili msimamo wangu endapo utathibitisha madai yako kwa ushahidi wa kuaminika.
 
Sawa mkuu twende taratibu. Nina shahada ya Sayansi ya Siasa na Historia toka chuo kikuu cha Dar es Salaam mkuu.

Ujamaa wa nyerere kanuni/misingi yake ni ipi?

(Ninataka twende taratibu kisha tuelewane mkuu, hatukomoani)
Mimi ujamaa wa Nyerere sikuusoma darasani nimeusoma maishani kwa vitendo. Isipokuwa ujamaa niliousoma nimeusoma Nchi moja ya Kikomunisti yaani Marxism huko Ulaya
 
Back
Top Bottom