cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
naomba tuwaombee hawa wapendwa watokwe na huo ulegevu na kugangamara tena kiume.
Hivi hawa si wacheza shoo wa Akudo?....au ni nani?..wamelegea maeneo gani, mi siwoni!
Hapo hata swali halipo kwisha habari yao hata maungo na sura vinadhihirisha kuwa si riziki!!
natamani kuwaambiwa 'mshindwe na mlegee' lkn nasita maana tayari 'wao kwisa legea'.
naomba tuwaombee hawa wapendwa watokwe na huo ulegevu na kugangamara tena kiume.
dada CHEUSI, NAONA UMERUDI NA STYLE NYINGINE KABISA, MAANA ILIKUWA BILAL SASA SIJUHI HUYU NDIO NANI TENA
.........khee!!! inasikitisha kuona midume inashikishwa ukuta na dada zetu mna double line!!yaani wee acha tu ktk vitu vinanisikitisa mojawapo ni kuona kaka zetu wakishikishwa ukuta.
.........khee!!! inasikitisha kuona midume inashikishwa ukuta na dada zetu mna double line!!
Kazaneni kutoa double line dada zetu jamani, kama si hivyo watu wataenda huko kupata tigo ngumu! I hate this behavior anyway
jamani jamani jamani ,nalia pole nalia pole sana
ni model wa kiume ...tru shytHivi huyu ni nani sasa Model wa kiume or mtoto si riziki?:mad2:
Kazaneni kutoa double line dada zetu jamani, kama si hivyo watu wataenda huko kupata tigo ngumu! I hate this behavior anyway