Mimi nimeshachukuwa passport ñasubili kukwea pipa Tu Mheshimiwa atupeleke USA.Video inajieleza.
View attachment 2865826
Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi?
Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025?
Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
ASKOFU kaamua kutenda DHAMBI ya UONGO kwa Ajili ya Fedha za BungeVideo inajieleza.
View attachment 2865826
Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi?
Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025?
Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
Brother hivi kwani Gwaji boy hamumjui vema?Video inajieleza.
View attachment 2865826
Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi?
Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025?
Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
Yaani kama hamkumjua basi mmeshaliwa, subirini 2025Video inajieleza.
View attachment 2865826
Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi?
Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025?
Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
Usitaje CCM hayo aliahidi mwenyewe. Mwaka 2025 wataahidiwa kupelekwa Mars na kila kaya kupata helikoptaUsipoteze muda, hakuna Cha grader, Train wala Birmingham, wajinga ndio mtaji wa CCM
HahahaMimi nimeshachukuwa passport ñasubili kukwea pipa Tu Mheshimiwa atupeleke USA.
Kuna Jamaa zangu nao wanasubili boti za uvuvi kutoka Japan kama walivyoahidiwa.
Labda anakwambia ukweli wewe tuNi Askofu lakini. Anafundisha na kusimamia KWELI
Never on earth.. Ni tapeli na muongomuongo kama matapeli wengine tuuNi Askofu lakini. Anafundisha na kusimamia KWELI
CCM inapaswa kujitokeza na kukanusha hizo ahadi za mbunge kwamba zilikuwa ni zake na haziwakilishi majukumu ya chama.Usitaje CCM hayo aliahidi mwenyewe. Mwaka 2025 wataahidiwa kupelekwa Mars na kila kaya kupata helikopta