Tuwaeleweje wasiomuunga mkono Magufuli?

Hata kama ukiwa haupendi kiukweli magufuli anakubalika na wananchi wa hali ya chini waliokuwa wanadhulumiwa haki zao. Ndani ya muda mchache ameinyesha kuwa nu mtetezi wa wanyonge.

ameinyesha ndo maana yake nini?si muungi mkono afanye kazi aliyotaka afanye na nione matunda tanganyika nzima na zanzibar,eti unapambana na chama chako ulichokuwa nacho miaka 20 wewe kama wewe halafu uombewe kwani hjui kusali? wanaona kama watu wote tuna akili kama waliojazana kwenye malori ,kupewa pilau na kofia za jua,mtu makini anawasikiliza wapinzani na kujenga hoja si kutisha watu halafu eti raisi wa wote,mi sio fata mkumbo wa propaganda NONSENSE
 
Hata kama ukiwa haupendi kiukweli magufuli anakubalika na wananchi wa hali ya chini waliokuwa wanadhulumiwa haki zao. Ndani ya muda mchache ameinyesha kuwa nu mtetezi wa wanyonge.

Hata JK alikubalika ndy maana alipata aslimia nyingi ktk uchaguzi
 
kama ni tanzania aanze na hapo zanzibar sio maigizo kitu cha kawaida sana tv zote,magazeti,radio kila saa ukiuliza eti vitanda,kama hakuna dawa na mashine ni mbovu vitanda ni vya mama wajawazito basi na dar peke yake na yeye ndo kaona hayo wengine wa nyuma walikuwa hawaoni,

Mkuu nimeshindwa kukuelewa, mbona umeandika kama unafukuzwa
 
Ni UKAWA peke yao ndiyo hawatamuunga mkono! Kipigo cha Lukaya walichokipata ndicho kilichowachanganya!
 
Baadhi ya vitabu vya dini vinafundisha kwamba binadamu ana njia mbili; ama ile anayoitaka Mwenyezi Mungu ambaye ndiye aliyemuumba au ya shetani. Ni kwa muktadha huo, tunaungana na kauli ya Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyekaririwa na vyombo vya habari likiwemo gazeti hili jana, akisema kwamba mtu yeyote anayempinga Rais Magufuli, maana yake ni kwamba atakuwa unaunga mkono mafisadi, wala rushwa na wabadhirifu.



Tuna imani na kazi ya JPM. Suala la kutoungwa mkono na wote ni kawaida.

Si Yesu wala Mtume Mohammed aliyeungwa mkono kwa asilimia 100. Sembuse Magufuli?
 
In diversity we progress. Unaweza ukamuunga mkono kwenye hili lakini ukampinga kwenye lile. Ukiona unaunga mkono kila kitu au unapinga kila kitu ujue kuna matatizo pahali. Pia kuto kumuunga mkono haina mana unampinga.
 
Watanzania ni wajinga sana, eti mzima na akili zake anashabikia hotuba. Hotuba ambazo hata watoto wanasoma. Hapa ni Kazi tu hatushabikii maneno tunataka utekelezaji tu. Hivi kunamtu anashindwa kutamka nitazuia ujangili, nitawafunga wezi,nita punguza matumizi,nk. Sasa asingetamka hayo angetamka nini? Tuache mzaa na nchi yetu, tutafanya evaluation kwenye utekelezaji na si hotuba.
 
Kweli wewe ni Mpumbavu na Lofa ...ina maana mpaka saizi bado hujamkubali Magufuli? Hata Kama ameingia kwa njia unayosema wewe mpumbavu. Sisi tunataka Maendeleo sio upumbavu na Ulofa wako. Kwa hiyo wewe ulitaka Nani Awe Rais wa nchi hii ya Wanyonge? Mimi ni mwanajeshi maneno kama hayo yanavunja Amani ambayo tunailinda kwa Nguvu zetu zote.. Ninge kufahamu saizi ungekuwa Jehanamu.

Huna lolote usitishe wanyonge kwa kudai we ni mjeshi. Kuwa jeshini si kila mtu afuate unavyofikiri.
 
Watakaomkwamisha ni hao hao ccm na watendaji atakaowateua! Ukawa haiwahusu unless km atawachagua ukawa katika serikali yake. Kazi ya ukawa ni kummonitor na kumkumbusha ahadi zisizotekelezeka alizotoa. Eti anashangaa kwa nini nchi haina viwanda. Kweli? Katoka mwezini au!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom