I have a dream
Member
- Apr 2, 2012
- 73
- 59
:yawn: Mimi nikiwa mmojawapo sijahesabiwa naomba na wengine mjiorodheshe ili serikali iweze kufanya tathmini ni wangapi hawajahesabiwa.
Kwa upande wangu nimesikitishwa na jinsi watu wanavyojibu maswali kwa kutoa taarifa za uongo....mfano mtu anaulizwa ana miaka mingapi anajibu mia na ukimwangalia ana kama 30. mlilala wangapi usiku wa kuamkia jpili anajibu mimi mwenyewe lakini unakuta yuko na watoto wadogo kibao.
Anyway kuna changamoto nyingi kweli.