Tutawezaje kupunguza Inflation wakati nchi inaagiza hata 'toothpick'?- Kafulila

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Sep 30, 2007
800
171
Kafulila, baada ya kuchambua namna ambavyo serikali inashindwa kudhibiti inflation, akamaliza kwa swali hilo...jambo ambalo ni la kweli kabisa. Tanzania inaagiza kuanzia tooth pick hadi ndege, huku ikiacha nafasi za kujitengenezea yaenyewe nguo kwa pamba inayolimwa nchini. Waziri wa fedha amekubaliana naye kwamba ni jambo la msingi sana, na na dhani wa CCM wanaombeza Kafulila, na ambao vichwa vyao haviwezi kufikiri sana (Mchemba?) watakuwa wamepwaya sana katika hili.
 
Back
Top Bottom