Hakuna mtu wa kuizima NGUVU YA UMMA. Yesu akirudi ataikuta pia.
Ha.ha. kwani likiboreshwa itakuajeNyie boresheni daftari la wapiga kura nchi nzima tena kwa awamu moja tu basi...kazi itakuwa imekwisha.
Kuna kila dalili kuwa wana Arumeru watamchagua Sioi, kwa hiyo tutarajie cdm waje na haya majibu:
.tumejitahidi kura zimeongezeka
.kura zimechakachuliwa
.mawakala walihongwa
.mkurugenzi wa uchaguzi ni kada wa ccm
Nyie boresheni daftari la wapiga kura nchi nzima tena kwa awamu moja tu basi...kazi itakuwa imekwisha.
CDM ikishindwa tutarajie kesi mahakamani ziada hakuna na wingi wa kesi gharama za kuendesha then kurudia uchaguzi katiba mpya inatakiwa kurekebishwa ubunge uwe ni wa kupokezana kwa mshindi wa kwanza na wa pili kesi ziishe
Kuna kila dalili kuwa wana Arumeru watamchagua Sioi, kwa hiyo tutarajie cdm waje na haya majibu:
.tumejitahidi kura zimeongezeka
.kura zimechakachuliwa
.mawakala walihongwa
.mkurugenzi wa uchaguzi ni kada wa ccm