Tutafika tu africa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Tutafika tu africa
 

Attachments

  • watu bana1.jpg
    watu bana1.jpg
    51 KB · Views: 148
  • watu bana.jpg
    watu bana.jpg
    34 KB · Views: 137
Tutakuwa tupo nyang'anyang'a tukifika huko unakodhani tutafika comrade,kama yule star wa move ya Tears of the Sun Brues Wills pale mwisho wa move
 
hiyo toto sijui imebeba nini jamani!!!!!!!!!!!!! naomba mnisaidie
 
Huyo wa pikipiki ni problem solver. Huyo wa kubebwa nadhani anatamani kuwa kwenye jeneza. Nadhani ni Ghana huko ndiko bado wanaendeleza upuuzi huo, eti mfalme.
 
Kufika tutafika japo siyo leo wala kesho nikimaanisha ni safari ndufu sana kwani hata demokrasia bado hatujaweza kuikuza na kuitetea!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom