Tutafakari kwa pamoja tunahitaji katiba ya namna gani

Nova Kambota

Member
Nov 12, 2009
62
1
Kadri mjadala wa katiba mpya unavyozidi kupamba moto kila kona ya nchi hii ni muhimu sasa tukapiga hatua mbele kwa kuanza kutafakari je tunahitaji katiba ya namna gani? ikzingatiwa kuwa la muhimu sio katiba tu bali katiba bora inayotokana na watanzania wote na inayokidhi mahitaji ya sasa ya watanzania.......ni muhimu sasa tukautanua mjadala wetu kwa kuanza kutazama upande wa pili wa aina ya katiba tunayoitaka kwani no one can stop the storm katiba mpya ni lazima tu .




Nova Kambota is back on JAMII FORUM enjoy his views and logical arguments
 
It seems kijana Nova Kambota umebadilika sana siku hizi kwa maana wewe si ndio kale kajamaa kalikokuwa kanajidai kuwa kalisoma ilboru halafu kakawa kanapotosha watu kwa kuwa kashabiki ka mafisadi CCM, halafu kakawa kanaponda JF na CHADEMA kupitia blog ya www.novadream.blog.com sasa kama umebadilika na kuanza kujadili mambo ya kitaifa good kijana ila kama umetumwa au unabip koma mapema bwana mdogo
 
Back
Top Bottom